Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,468
- 113,583
sana tuu. Naomba usiniombe mifano!.Serikali inapiga mkwara?
P
sana tuu. Naomba usiniombe mifano!.Serikali inapiga mkwara?
Naomba mifano tafadhali!!sana tuu. Naomba usiniombe mifano!.
P
Magaidi ndio yanafugika Ufipa tu.Kunguru hafugiki
Mangapi serikali imesema lakini haikutenda?. Kauli nyingine ni mikwala tuu usiogope.Naomba mifano tafadhali!!
Yaani hawa wasanii wanavyowapelekesha na kuwavuruga vuruga waumini wao hadi mtu unaweza kuwaonea huruma!! Halafu wanasema wachoma chanjo watakuwa mazombie, mimi naona wao tayari wameshakuwa mazombie wa Gwajima!!! Jinsi alivyokuwa anajiuma uma jumapili iliyopita alikuwa anaonesha kabisa yeye ni mnafiki, hajui chochote kuhusu chanjo na mpiga deal tu! Nadhani hakutegemea reaction aliyopata kutoka CCM, ameogopa tayari!Alishaufyata wiki iliyopita kwa kusema Samia ana nia nzuri tatizo ni wasaidizi wake na atakomaa nao, leo tena anataka kusema kitu gani?
Huyu msanii anajifanyia promo watu waende kanisani kwake aongeze sadaka, nothing else.
Anataka kumjibu Kakobe
Kakobe anaishi Marekani kwa akina J J!Anataka ligi na KakobeView attachment 1892802
Hata kama hauna Sadaka unaruhusiwa kuja
Mkuu Pascal Mayalla kwa Mwendazake hilo linawezekana kwa kuwa mwishoni mwa utawala wake angekuwa ametimiza vipaimbele vyake na hivyo kutaka kujenga legacy nyingine ya kisiasa kwa kutuachia Katiba mpya.Mangapi serikali imesema lakini haikutenda?. Kauli nyingine ni mikwala tuu usiogope.
Tena hata enzi za Mwendazake, japo alisema katiba sio kipaumbele chake, kama Mungu asinge muita kwake, kumpa majukumu muhimu zaidi, amini usiamini, alikuwa anatuachia katiba mpya !.
PTrends, Visions: Watanzania msitatizwe na kauli zake kuhusu Katiba, baada ya Nyerere, ni Magufuli ndiye ataacha legacy kubwa ikiwemo Katiba Mpya!
Wanabodi, Hili ni bandiko kuhusu kitu kinachoitwa trends na visions. Trends ni kusoma mielekeo, na visions ni kuona mambo yajayo ya mbali, hivyo trends za rais Magufuli anazokwenda nazo, kwa sisi waona mbali, tuliojaaliwa kupata visions za yajayo, tunaona kabisa mambo mazuri huko tuendako...www.jamiiforums.com
Nenda tu lazima ukamuliwe sadaka tu! Mwenye kikapu cha sadaka lazima akusimamie hadi uone aibu na kutoa! Huwa wapo makini sana wakati wa kukusanya sadaka kuliko wakati wowote.Hata kama hauna Sadaka unaruhusiwa kuja
Unaweza kusema ni habari ya kisiasa kwasababu huyu tapeli huwa anajikita zaidi kwenye siasa kuliko kutangaza injiliNa hii ni habari ya Siasa?
Sijui ni nani anayemwamini huyu mtu. Alisema kamwe hawezi kugombea ubunge kwani itakuwa ni kujidhalilisha lakini leo ni mbunge bila aibu!
Umeisikiliza video yake ama umekurupuka tu JoKakobe anaishi Marekani kwa akina J J!
Mbwa Kala Mbwa
Ccm Sasa Hivi Mwendo Wa Fitna
Jobo Naye Akasema Lazima Wachanjwe Ndiyo Waingie Jirani Na CBE Dodoma
Jafo
Msukuma
Kabudi
Bashiru
Pole X 2
Na Wengine Tayari Wametafuta Mbinu Mpya
Mimi sizungumzii video yake bwashee!Umeisikiliza video yake ama umekurupuka tu Jo