Bishop Rev. Josephat Gwajima kusema neno tena kesho. Unakaribishwa katika ibada kanisa la Ufufuo na Uzima....!

Hana lolote anasoma vipropaganda vya kijinga vya waliochanjwa kuwaka bulb na sumaku na kuwadanganya misukule wake
 
Yaani niende kanisa lake la mabati kusikiliza mipasho?
Bora nibaki home nile mbususu huku nikisikiliza Ndombolo ya solo.
Yeye asichanjwe ni fresh tu,asione kama ni issue ya maana kwa wenye akili.
 
Back
Top Bottom