Bishop Gwajima: Mkate wa kila Siku

PastorA

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
361
275

Wakuu nimeipata hiii.....inaweza kusaidia

Mkate wa kila siku
ni kitabu chenye maarifa na maombi ya nguvu sana yatakayo mfungua kila mtu atakae soma na kuomba sawasawa na maarifa yaliyomo, kwa kawaida huwezi kutatua tatizo bila kujua chanzo cha tatizo hilo, na huwezi kumshinda adui kama hujui uwezo wake na nguvu zake.Kupitia kitabu hiki utapata maarifa mengi, siri,na mbinu za shetani na mawakala wake wanao tumiwa kuharibu maisha ya watu.
Shetani na mawakala zake hutenda kazi kupitia kalenda maalumu ya siku walioitengeneza. Kuna mashetani maalumu waliopewa uwezo na majukumuya kutimiza katika siku husika kulingana na kalenda yao.
Leo hii watu wengi wanamatatizo kwa sababu yamesababishwa na mashetani, lakini bila watu kujua wamehisi kwamba ni hali zao za kawaida kwa mfano, tatizo la kuharibu mimba,kuzaa watoto waliokufa,kukosa kazi, kulogwa, madeni,hofu ya kifo na matatizo mengine,
Kitabu hiki kimeweka wazi kalenda ya shetani na mawakala wake,matukio waliyopanga kutokea na maumbo wanayotumia mashetani katika siku mbalimbali ili kuwatesa wanadamu. Pia kuna maombi yamewekwa kulingana na siku, hivyo ni ya kuomba kila siku kuanzia juma tatu hadi juma pili, ndiyo maana kitabu hiki kimeitwa MKATE WA KILA SIKU.
Maombolezo 3:31-33
Kwakuwa Bwana hatamtupa mtu hata milele,maana ajapo mhuzunisha atamrehemu,kwa kadiri ya huruma zake.Maana moyo wake hapendi kuwatesa wanadamu.

Mwandishi wa kitabu hiki Dr. Josephat Gwajima ni askofu mkuu wa makanisa ya Glory of Christ Tanzania na duniani kote,makanisa yenye maelfu ya watu wanaomwabudu Mungu kwa pamoja.Ni mchungaji ambaye Mungu humtumia kwa ishara,miujiza mikubwa na maajabu ya kupita kawaida.

Kupata nakala hii na vitabu vingine vingi alivyoandika Askofu Dr Josephat Gwajima kwaajili yako na ndugu yako pia na kwa wenye maduka ya Vitabu "Book shops" , wasiliana nasi kwa namba

+255718686604
+255625568600
Utatumiwa vitabu mpaka mahali ulipo kwa idadi ya vitabu utakavyo hitaji.
Mungu akubariki sana.
Amen.
 

Attachments

  • 1929371_880624595391493_6955706513491316169_n.jpg
    1929371_880624595391493_6955706513491316169_n.jpg
    53.1 KB · Views: 73
Gwajima yupi yule mshenga wa Lowasa kwenda Chadema au yule aliyemtukana kadinali Pengo?
 
mzee mwenzangu , kwani wewe umekula maharage ya wapi ??
 
Back
Top Bottom