Bishara ya HARDWARE ushauri

mor112

Member
Mar 6, 2010
16
0
Ndugu zangu naomba msaada anataka ni anze biashara yaa hardware yaa electricity equipment, construction equipment, agriculture equipment, nataka nitoe kutoka china na Europe, nataka nianzishe hardware shop hiyo katika wilaya yaa tunduma or mjini sumbwanga, budget yangu sh m40, please advise me which city is good for this type of business ? how much profit I can make ? is this a profitable bussiness ?

Asanteni sana
 
Dar ni city nzuri kwa biashara nyingi, Biashara kuwa na faida (profitable) inategemea mambo mengi, la msingi hakikisha gharama zooote(fixed and variable costs) zisizidi, na kwa kweli ziwe chini ya mapato yote(toal income).Location(eneo) ni muhimu katika biashara yako,kwa mfano ukaweke duka lako juu ya mlima kule polini kule sumbawanga, nani atakuja nunua? pia unatakiwa ujue prospective customers, je kabla sijafungua natarajia kupata wateja gani hapa? Kuna mambo mengi siwezi andika yote
uwe mwangalifu vinginevyo utaishia kwenye net Loss-hasara. Ukitaka zaidi tutafutane siyo hapa
 
WASILIANA na dada mmoja makini sana wa humu ndani anaitwa Charity!..Ni hayo tu.
 
mkuu hii ni biahsra nzuri inalipa hasa mikoani
nimefanya research nikaona watu wa mkoan wanakula hela sana
utakuta mfano mbao huku tunanua 1 by 6 kiasi kadhaa arusha wao wanapima kw mita 1200...mbao moja unakuta unannunua mara 4 ama 5 ya orig price in dar
ukitaka kuanza anza na mizigo ya kichina first inalipa sana baadae mix..itakusaidia mbeleni
kuna baadhi ya watu wanataka mizigo kutoka out of china
 
Dar ni city nzuri kwa biashara nyingi, Biashara kuwa na faida (profitable) inategemea mambo mengi, la msingi hakikisha gharama zooote(fixed and variable costs) zisizidi, na kwa kweli ziwe chini ya mapato yote(toal income).Location(eneo) ni muhimu katika biashara yako,kwa mfano ukaweke duka lako juu ya mlima kule polini kule sumbawanga, nani atakuja nunua? pia unatakiwa ujue prospective customers, je kabla sijafungua natarajia kupata wateja gani hapa? Kuna mambo mengi siwezi andika yote
uwe mwangalifu vinginevyo utaishia kwenye net Loss-hasara. Ukitaka zaidi tutafutane siyo hapa

Asante sanaa kwa ushauri wako, lakini unajua kwamba huko mkoani ndiyo kuna opportunity nyingi nii bado watu wengi hawaja kwenda,
Nii area gani unaweza uni shauri kufungua biashara aina hii katika mji waa dar ?
Shukran
 
Hiyo ni biashara nzuri...sasa angalia pia rate ya ujenzi hayo maeneo ni vipi,pia usisahau advertisement ni muhimu
 
na bisahara yaa ma used computers na laptop market yake vipi ? kuna ma competetion nyingi ? how much unaweza kuuza a used dell laptop Pentium 4, 250GB, 2GB RAM ?

mimi naishi hapa london lakini natarajia kuja tanzania mwezi wa saba,

asante sana
 
Mimi ningependa nipate ushauri kuhusiana na biashara ya zana za uvuvi,je inalipa ? ni sehemu gani muafaka karibu na bahari au karibu na Ziwa? wapi naweza kupata ushauri mzuri?
 
Mikoa karibu yote nilishafika isipokuwa Rukwa, Mara na ile ya pemba,....wale wa mikoani wanafuata bidhaa Dar,Labda uwe na mjomba wako mtu mzito kule mikoani akupe tenda serikalini.
Kwa Dar ile mitaa ya Kariakoo yenye msururu wa maduka ya vifaa vya hardware is the best place au pale mtaa wa India penye maduka ya hardware, maeneo hayo ukipata huwezi fulia/filisika. ukikosa nenda nje ya jiji wanakogawa viwanja kama vile mabwepande.
 
na bisahara yaa ma used computers na laptop market yake vipi ? kuna ma competetion nyingi ? how much unaweza kuuza a used dell laptop Pentium 4, 250GB, 2GB RAM ?

mimi naishi hapa london lakini natarajia kuja tanzania mwezi wa saba,

asante sana
.
Kwa sasa Tanzania biashara nyingi ni ngumu sana,prrofit margin ni ndogo sana,hapohapo ulimwe kodi kubwa na TRA mambo ya biashara ni magumu sana.Biashara nyingi mwisho wake zinafungwa,sikukatishi tamaa lakini,ukweli ni kuwa mjumba mengi yanauzwa kisa? watu walichukua mikopo benki wakafungua biashara wamechemsha .WAJANJA wachache wanafanikiwa, wanakwepa kodi,wananunua bidhaa kwa bei ndogo sana,au labda kwa njia zisizo halali na eeeh ngoja niishie hapa
 
Back
Top Bottom