@Bishanga, @kongosho wazichapa mbele ya @paw

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
5,759
5,289
Na mwandishi wetu.
Katika hali isiyotarajiwa wabunge wawili wa jamhuri ya muungano wa JamiiForums wamenaswa wakizichapa LIVE mbele ya ofisi za raisi mheshiwa invisible.
chanzo chetu cha habari kimesema kuwa chanzo cha ugomvi huo ni mabishano makubwa yaliyotokea kati yao kuwa nani ana ongoza kwa id nyingi bungeni hapo.kwa mujibu wa chanzo chetu wabunge hao walifikia hatua ya kutaka kwenda kumuuliza rais wa bunge ili aweke wazi lkn hali ilibadilika baada ya kufika karibu na ofis hzo na kuanza kudundana kongosho anasadikiwa kuwa na id 13 huku bishanga akithibitisha anazo 15.kwa sasa kongosho yupo zahanati ya St. Smile akiuguza jeraha lake kwani amengolewa meno 3,huku bishanga akishikiliwa na polisi. kamanda wa polisi insp. Paw amethbitisha kuwepo kwa mtuhumiwa huyo kituon kwake.
 
Last edited by a moderator:
Duuuuuh umechemsha kumpa u Insp Invisible na Paw urais!!!!!

Mengine juu ya nani alirusha ngumi kali zaidi ya mwenzake na ilikuwaje wakashindwa kufika ofisi ya Paw kujua nani bingwa wa ID nyingi watakuja wenyewe ili wajitetea mbele ya pilato Losambo kwa nini nisiwafunge jela miezi sita kwa kupigana hadharani!!!!
 
Duuuuuh umechemsha kumpa Invisible ukamanda na Paw urais!!!!!

Mengine juu ya nani alirusha ngumi kali zaidi ya mwenzake na ilikuwaje wakashindwa kufika ofisi ya Paw kujua nani bingwa wa ID nyingi watakuja wenyewe ili wajitete mbele ya pilato Losambo kwa nini nisiwafunge jela miezi sita kwa kupigana hadharani!!!!

inasemekana wakiwa njiani Kongosho alianzisha lugha za matusi na kusababisha ngumi kali.Mwandish wetu hajafanikiwa kumpata kongosho mpk sasa kwani cmu yake haipo hewani
 
Last edited by a moderator:
inasemekana wakiwa njiani Kongosho alianzisha lugha za matusi na kusababisha ngumi kali.Mwandish wetu hajafanikiwa kumpata kongosho mpk sasa kwani cmu yake haipo hewani

Duuuuh kumbe kufa kufaana jamaa walikwala nini katika songombingo hilo?


Ngoja aje ajibu tuhuma zake maana nimetuma message ikileta ripoti tu ninaye nimsomee mashitka yake.
 
Last edited by a moderator:
Duuuuh kumbe kufa kufaana jamaa walikwala nini katika songombingo hilo?


Ngoja aje ajibu tuhuma zake maana nimetuma message ikileta ripoti tu ninaye nimsomee mashitka yake.

ndio mkuu,fanya kazi yako.Teh teh
 
Taarifa nilizopata asubuh hii,ni kuwa kesi bishanga itaanza kusikilzwa jpili ijayo
 
Back
Top Bottom