Bishanga , hebu kaombe kazi kwa huyu ............... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bishanga , hebu kaombe kazi kwa huyu ...............

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Judgement, Sep 2, 2012.

 1. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #1
  Sep 2, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Awali nilitaka kuthubutu kujidanganya mwenyewe! Eti nikidhani Bishanga , alleged Bepari kua anazo za kufuru!
  Kuna watu wa mihela wajameni, mchezo tupa kulee!
  Hebu fatana nami umuone Mr. Rwegoshora Rweyemamu, na hii ni siku aliyofikiwa na makarani wa Sensa .
  Mara makarani walipoingia ndani ikawa ;-
  Rwegoshora >
  "Karibuni vijana wangu, karibuni. Sijui mtakunywa nini ? Joyce (beki 3) hebu wasikilize"

  Karani >
  "Asante mzee sisi hatutakunywa kitu tuna uharaka, twaomba utujibu dodoso zetu"

  Karani > " Mzee hii kaya mko wangapi ? "

  Rwegoshora >
  " Kwanza sasa hivi ndiyo natokea Bank , kuchukua ml 40 kwa ajili ya kuwalipia vijana wangu wawili , mmoja Muganyizi anachukua ka'master ka'uchumi , na wa pili yuko Ujerumani anachukua ka'degree ka'social sayansi. Ofcoz hapa kwangu tupo 9 lakini now we are remained two out of them .
  Mama yangu mzazi last month nimempeleka India kutibiwa ameshani'cost ml 75 tangu aende na hadi sasa bado hajapata dischurge , my wife ameenda site kusimamia kushusha vifaa vya ujenzi , jana nilishusha container 4 za thamani ya ml. 600.
  Watoto waliobaki wameenda Seronera kuangalia wanyama , but jana wamenipigia wanamalizia tour yao hapa Mikumi. Alafu mmekataa kinywaji basi wawachome hata tuMbuzi tuwili ?"


  Kwa muda walibaki wametumbua !
  Wito wangu kwa Bishanga kaombe job kwa huyu jamaa.
   
 2. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #2
  Sep 2, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  huyo rwegoshora hana kitu bana,bishanga nna hela wewe,ujue nikimpenda mwanamke shopping yake ya kwanza kama sio singapore basi angalau huwa ni kuala lumpa.
   
Loading...