Bishanga anapenda kuchonganisha huyooo

Hua anaangalia na aina ya ndoa za kuchonganisha!cha kushangaza yeye ndoa hana,huko unga ltd katolewa nduki huku anapambanisha watu lol!@Bishanga oa utulie!

Na wewe unanikomalia?
Nimwambie rejao mambo uliyoyafanya wakati amekwenda Davos,uswiss kwenye mkutano wa G8?
 
Hii sredi inatakiwa iwekwe kwenye sticky ili itumike kama fundisho kwa wale wote wenye tabia kama za Bishanga Abashaija...
Mods, du ze nidful...

Mapendo.
TANMO.
Hahahaha si mpaka,halafu wewe nshasikia mambo yako,kesho nayaanika hapa,everything about you and cantalisia.
 
Back
Top Bottom