Birthday yangu nitasherehekea na Mama yangu

safuher

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
11,161
15,839
Si jambo zuri kusherehekea birthday yako ukiwa na marafiki zako mnakula keki huku aliyekuwa njia ya wewe kuja duniani hana habari pengine anakula ugali siku hiyo na wewe unakula pilau na kuku.

Haiwezekani kabisa sherehe ya kuzaliwa kiungo muhimu mama yako asifurahi wakati wewe unajifanya unafurahi,furaha ya kinafiki kabisa unajikumbuka wewe tu yule aliyekuleta unajifanya umemsahau ?

Hakikisha siku yako ya kuzaliwa ikifika basi mama yako anaikumbuka na kusema kazaa jembe tarehe hii au malkia wa nguvu kwa kumfurahisha na kumsurprise na sio kuwaambia watu wa kuwish kwenye status kubwa zima.

Enjoy with your mom , when your birthday comes.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kucelebrate birth day katika uislamu je yajuzu?
 
Kwangu Mimi , mama yangu nikiungo pekee kwenye maisha yangu am just imagine 🤔how this life ningekuwa nilivyo leo bila yake.

God blessing My Mom & blessing all moms.
 
Back
Top Bottom