birthday ya tbc leo

NICK2275

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
3,931
918
naona tbc wanasheherekea miaka 3 yao leo-huku wakionyesha changamoto zinazowakabili-
imenisikitisha kuona wanasoma habari kwa kutumia tochi ya simu-ina maana hata generator za kukaa muda mrefu hawana-majengo baadhi hayana AC/FANS
 
Hapa lazima kuna joke. Na hizo habari wanazosoma zinarushwa kwa hiyo tochi ya simu?
 
torch ya simu ndio inarusha matangazo?
au torch ya cm nayo inawasha mitambo pia
 
Wameonyesha waliokuwa wanasoma habari kw atochi ni tbc redio-mechanism ya kurusha sijajua ni kwa vp wanayarusha
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom