Birthday ya Makonda yakosa Shangwe, Chawa waingia mitini

SIFA ZA CHAWA HAWA NI KUKUMWAGIA SIFA MPAKA UWASHWE!NI KUJICHEKESHA CHEKESHA TU MPAKA KWA PAKA AU MBWA WAKO.
AKIISHA KUKUMBIA, ANAKWENDA KUTOA SIRI ZAKO ZOTE KWA MPINZANI WAKO
 
Hii ndio tafsiri halisi ya Dunia Tambara bovu , Miaka yote ambayo Paulo Makonda amekuwa RC , siku kama ya leo ambayo ni siku yake ya kuzaliwa , vyombo mbalimbali vya habari , yakiwemo magazeti , redio na Channel za Tv ikiwemo WASAFI TV , ilikuwa hapatoshi , shangwe za birthday yake zilivuma siku nzima , waliacha kumuita jina lake , wakati huo akaitwa Baba Keegan .

Sasa leo baada ya madaraka kwisha , CHAWA WOTE WAMEPUKUTIKA utadhani wamepuliziwa Diazon , ile dawa kongwe ya kunguni ! ama hakika dunia duara kubwa sana . Hakuna cha Insta wala Twitter

HAPPY BIRTHDAY BABA KEEGAN

View attachment 2120368
Kesi yake lazma upande wa kubenea akae Mtobesya na Malya
 
Hiyo kawaida ukiwa na k2 utakuwa na marafiki kama wote cku v2 vkiisha ukigeuka nyuma humuoni hata m1.
Inategemea ulikuwa na tabia gani ! Kama ulikuwa unajisikia sana kweli utakuwa pekeyako! Lakini kama ulikuwa muungwana na haukuwa na dharau watu wengi tu watakuwa upande wako !
 
Hii ndio tafsiri halisi ya Dunia Tambara bovu , Miaka yote ambayo Paulo Makonda amekuwa RC , siku kama ya leo ambayo ni siku yake ya kuzaliwa , vyombo mbalimbali vya habari , yakiwemo magazeti , redio na Channel za Tv ikiwemo WASAFI TV , ilikuwa hapatoshi , shangwe za birthday yake zilivuma siku nzima , waliacha kumuita jina lake , wakati huo akaitwa Baba Keegan .

Sasa leo baada ya madaraka kwisha , CHAWA WOTE WAMEPUKUTIKA utadhani wamepuliziwa Diazon , ile dawa kongwe ya kunguni ! ama hakika dunia duara kubwa sana . Hakuna cha Insta wala Twitter

HAPPY BIRTHDAY BABA KEEGAN

View attachment 2120368
Paul Makonda a.k.a DAUDI ALBERT BASHITE zama zake zimekwisha
 
Back
Top Bottom