Birthday party ya Nivea

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,555
8,552
Naomba nichukue frusa hii kuwambia lei jioni kutakuwa na birthday party kwa My luv Nivea pale kwenye viunga vyetu naomba mfike kwa ajiri yakumpongeza mnaalikwa itakuwa ni cocktail party Karibuni Mtambuzi ameisha tuandalia pakufanyia hiyo party pale garden!.....baadae wapendwa!
 
Last edited by a moderator:
birthday gelo kapendeza sana kavaa gauni la cinderela Mtambuzi kaiba juithi yangu looo.
Kaniboaje sasa vivian na Jeska wanaingia.
They look classic jamani
hivi Jeska kikuku utaacha lini kuvaa?
 
Last edited by a moderator:
mie naweka live updates jamani.
Kuna kadada karembo kameingia karembo sana bado hajasema id yake.
mwaJ upo dada ?tumekukumbuka hapa
watu8 tunasubiria utufungulie champagne
 
Last edited by a moderator:
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom