Birthday na Kipimo cha Upendo

Ethos

JF-Expert Member
Aug 1, 2015
2,294
2,057
Zamani kidogo kabla hii mitandao haijashika kasi ilikuwa ngumu sana kujua Birthday ya Bidada...

.. Ilikuwa kukumbuka birthday Yake na kumletea kazawadi ni njia ya kuonesha unamjali, unampenda, na kumkumbuka.. Hata usipompa kitu ilitosha kabisa..


Siku Hizi hali ni tofauti sana... Wanatangaza wenyewe kabisa.. Ukikuta mtu labda ni mwezi huu.. Mara utaona Birthday Loading, Queens are born in December etc... Hivi mnatangaza ili mpate zawadi nyingi??
 
Tunataka wishes tu
Kama ni zawadi ukiamua unatugaia tu

Mbona ni kawaida mkuu
 
Hii kitu nouma sana....

Kuna bidada ana birthday 25/12 mwaka huu...

Anataka mchango wa birthday ...

Nimekatosa tuu manake nahisi kama natoa hela ya Kusherekea Xmass...

Kwani kina Tv?
 
Back
Top Bottom