POMPO JF-Expert Member Mar 12, 2011 6,690 2,400 Nov 27, 2012 #2 MKUU Ndallo UNA UTANI NA MbuzimZEE? Haya bana Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Emanuel Makofia JF-Expert Member Jan 5, 2010 3,832 630 Nov 27, 2012 #3 mbuzi mzee lazima atoke kapa! kazi kwake:glasses-nerdy:
mwaJ JF-Expert Member Sep 27, 2007 4,074 2,947 Nov 27, 2012 #4 Hapo Mbuzi Mzee atalizungusha bila kuliachia mpaka mshale uelekee kwenye rangi ya njano. Kusherekea birthday bila zawadi nani anataka?
Hapo Mbuzi Mzee atalizungusha bila kuliachia mpaka mshale uelekee kwenye rangi ya njano. Kusherekea birthday bila zawadi nani anataka?
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,142 13,216 Nov 27, 2012 #5 kuvuja kwa pakacha, si mbaya kiafya