Birds of a feather.......?

jibabaz

Member
Jun 23, 2008
55
0
Wana Jf samahani sikuambatanisha hii picha kwenye post yangu ya kwanza.
MAG 3..just masahihisho kidogo..i think kwenye heading ulikuwa na maana ya kuandika "Birds of the same feather....? ili sisi tumalizie ..flock together" na sii Birds of a feather..kumradhi
 
Mag3

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,290
2,000
MAG 3..just masahihisho kidogo..i think kwenye heading ulikuwa na maana ya kuandika "Birds of the same feather....? ili sisi tumalizie ..flock together" na sii Birds of a feather..kumradhi
jibabaz,

Kwa kizungu sahihi husemwa "birds of a feather flock together" na maana yake ni people with interests, opinions, or backgrounds in common: Birds of a feather flock together.

JF ni darasa lol
 
Pundit

JF-Expert Member
Feb 4, 2007
3,740
1,225
MAG 3..just masahihisho kidogo..i think kwenye heading ulikuwa na maana ya kuandika "Birds of the same feather....? ili sisi tumalizie ..flock together" na sii Birds of a feather..kumradhi
Mtaalamu, hivi "a feather" na "the same feather" kuna tofauti gani in the context of the saying?
 
NaimaOmari

JF-Expert Member
Sep 25, 2007
806
195
naimaomari,

At the funeral of the late Bhoke Munanka a day or two ago
Wameshiba kweli kweli mpaka wamekaa upande upande ... nilidhani na kashfa zote hizo afya zao zingedorora na wangepauka ..... kumbe .....
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom