Bird Flu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bird Flu

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by X-PASTER, Nov 22, 2007.

 1. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #1
  Nov 22, 2007
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Habari za kuaminika kutoka katika mkutano mkuu wa nchi za kiarabu, zinasema kuwa wamekubaliana kubadirisha bendera zao zote ambazo zina picha au Taswira ya ndege (Bird). Wameshauriana zibadilishwe kwa kuwekwa picha au alama ya vitu vingine kwa kuhofia picha hizo za ndege kupatwa na ugonjwa wa BIRD FLU au kwa kitaalam unajulikana kama Avian influenza.
  Nchi ambazo si wanachama ikiwemo Uganda amabayo ilihalikwa kama msikilizaji, iliwakilishwa na balozi wao aliyekuwa Saudi Arabia. Balozi huyo amethibitisha kuwa hata wao wanahofia maradhi hayo kuingia Uganda kwa kuwa hata wao bendera yao ina picha ya ndege na wanabarozi katika nchi zilizo kumbwa na ugonjwa huo...
   
 2. Bubu Msemaovyo

  Bubu Msemaovyo JF-Expert Member

  #2
  Nov 22, 2007
  Joined: May 9, 2007
  Messages: 3,436
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  What???!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 3. K

  Kasana JF-Expert Member

  #3
  Nov 23, 2007
  Joined: Apr 3, 2007
  Messages: 414
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  inachekesha......
   
Loading...