Bipartisanship; Tanzania tuige Marekani kama ilivyofanya kwenye ObamaCare Health Bill

bg_dg_dy

JF-Expert Member
Feb 27, 2009
604
489
Bipartisanship Ni neno la kiingereza linalomaanisha uwepo wa vyama vinavyopingana kuingia makubaliano ama kushirikiana katika kusimamia jambo fulani litakaloliletea tija taifa kwa ujumla.

Wabunge wa Republican na Democratic wameungana na kuwa kitu kimoja kwenye "SENATE" kuhusu kufanyia marekebisho kwa Mfumo wa Afya nchini humo uitwao OBAMACARE.

Natamani wawakilishi wetu waendelee kungana kama walivyofanya kwa scandal mbalimbali zilizowahi kuibuka nchini. e.g tegeta escrow saga, richmond etc etc
 
Back
Top Bottom