Biomedical Equipment Engineering

Oct 7, 2019
7
0
Hello brothers en Sisters!
Nimechaguliwa MUST course ni Diploma in Biomedical Equipment engineering nashukuru maana ndio niliyoichagua na ninaipenda kutoka moyoni.
Swali langu, Je ajira zake ziko vipi hapa Tanzania.
Ahsanteni
 
utapiga hela sana kurepair mavifaa ya mahospital,yale ma mashine ya uchaguzi nchi nzima baada ya mda yataanza kuhitaji repair na kazi yako hata si ya kuajiliwa wewe watakua wanakutafuta
 
Ubaya wake ni kwamba Degree itakulazimu ukasome Nje ya Nchi coz hakuna Chuo Tanzania kinachotoa Degree ya hiyo Kozi
Ndo vzr akapate exposure. Nna jamaa mmj Ana bachelor ya Biomedical anapiga pesa kishenzi, ndo Injinia mkuu Bugando wa hivyo vitu japo anatumiwa kanda ya ziwa nzima
 
Kama huna Hela shida inakuja kupata Sponsor wa kukusomesha Ughaibuni
 
Hello brothers en Sisters!
Nimechaguliwa MUST course ni Diploma in Biomedical Equipment engineering nashukuru maana ndio niliyoichagua na ninaipenda kutoka moyoni.
Swali langu, Je ajira zake ziko vipi hapa Tanzania.
Ahsanteni
Ni course nzuri. Kapige msuli kijana.
 
Ubaya wake ni kwamba Degree itakulazimu ukasome Nje ya Nchi coz hakuna Chuo Tanzania kinachotoa Degree ya hiyo Kozi
Muhimbili wanatoa degree ya biomedical equipment engineering, imeanza mwaka huu kaangalie list ya selected students 2019 muhimbili utakuta watu wamechaguliwa kwenye io kozi husika.
 
Ni course nzuri. Kapige msuli kijana.
Kuna dogo langu amechaguliwa ana wasiwasi kama ajira zipo maana aliniuliza ila mimi sijawahi ona hata secretariat ya ajira ikitangaza kazi zake!! Watu wana ajiriwa kweli course hiyo?? Usipo ajiriwa serekalini wapi unaweza pata ajira kwingine?
 
Serikàli waliajiri mwaka juzi tu toka hapo hawajatoa Tena zile nafasi za general kwa biomedical technician no
 
Back
Top Bottom