Mdugo
Member
- Nov 17, 2017
- 55
- 37
Samahani wanajukwaa.
Naomba mwenye vitabu au kitabu mojawapo kati ya tajwa hapo juu ashee hapa au anielekeze jinsi ambacho naweza kuvipata, soft copies. Imekuwa challenge sana kupata vitabu hivyo kwa muda sasa, na naamini kuna wengine pia ambao huenda wanavihitaji, iwe fursa kuvipata.
Asante.