BIOLOGICAL SCIENCE (BS) NA UNDERSTANDING BIOLOGY

Mdugo

Member
Nov 17, 2017
55
37
Samahani wanajukwaa.

Naomba mwenye vitabu au kitabu mojawapo kati ya tajwa hapo juu ashee hapa au anielekeze jinsi ambacho naweza kuvipata, soft copies. Imekuwa challenge sana kupata vitabu hivyo kwa muda sasa, na naamini kuna wengine pia ambao huenda wanavihitaji, iwe fursa kuvipata.

Asante.
 
agiza ebay mkuu simple sana
 
bs nayo kubwa nahis soft copy itaboa
Ukiwa na PC, au Tablet, soft copy ni bora zaidi.
Mimi ni mwalimu ndugu
Nipe authors wa hivyo vitabu nikuwekee hapa
- Hapa nina BS 6th edition, 2017 Author ni Scott Freeman [ pdf size 190MB ]
- Na pia kuna Understanding Biology 2nd ed. 2018 - Kenneth Mason [ pdf size 136MB ]

Kama Authors ni wenyewe nijulishe
1104926
 
View attachment 1104926
Tofauti ni editions tu... Ila nauhakika vitanisaidia Sana Mwl.RCT...
 
Back
Top Bottom