BIOGRAPH ya Don Nalimison katika Picha.

Bwana mkubwa samahani unajishughulisha na nn maana naona kuna nguvu kubwa sana unatumia kupost issue ambazo dah sijawahikukuelewa kabisaaaaaaaaaaaa sorry lkn
Ashakuwa mwalimu, ashafanya siasa, ni mwana harakati, sahv anafanya mziki
Na mambo yake yote ya naonekana hadharani bila kificho

Ova
 
Jamaa namkubali sana maana harakati zake hazifichiki, kna watu humu wanamponda lkn wao wako kama maghost wao wamejificha, angalau jamaa anaonekana anapambania jambo fulani alafu ni humble

Ova

kila mtu aishi anavyotaka
 
Jf tuna matajiri wawili tu..
  1. Kiduku lilo
  2. Don Nalimison (Jack of all trade )
Don Nalimison A former teacher,Musician,politician, Human Rights Defendant,Comedian and other blah blah blah... Kiduku ajipange soon atakua #1
Umesahau pia alikuwa ni prisoner
 
Nishaanza kukuelewa Don, hata kule YouTube zile views 6 kwenye nyimbo zako Mimi Ni mmoja wapo. Nilianza kukufatilia baada ya kukuona humu jf
 
Back
Top Bottom