Shukurani
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 251
- 11
Bahati mbaya saana nimekulia kitaaluma katika maabara aliyofanyia kazi Watson, Pale Cambridge university Na kuudhuria saana kwenye baa ambayo walikaa Na mwenzie baada ya kukugundia winding structure of DNA. Achana Na hayo. Nauli hii ilimfanya Watson afukuzwe kazi huko marekani. Mawazo haya hayana ukweli,tofauti ya waafrika in sub-saharan Africa Na ulaya/USA Ni mazingira tunayokulia,environment plays significant role in shaping our IQ. Unaweza kuwa Na IQ kubwa saana ila mazingira unayokulia yakaathiri uwezo wako e.g. Poor nutrition. Watson alisahau haya akafikiri kwamba IQ is a function of DNA but the environment counts alot. Unapochukua vitu karibu kuwa mwangalifu, elimu ya vyuo vikuu vya kata lazima iongezewe Na kusoma saanaKama Bw.Lowasa akifanikiwa kweli kukisambaratisha Chama na nchi kwa ujumla basi nitaamini kabisa ile Imani iliyojengwa na Dunia nje ya Bara la Afrika ya kwamba sisi watu wa Afrika (kusini mwa Sahara) tuna IQ ndogo sana kulingansiha na wengine .
(rejea maneno ya J.Watson Biochemist) kwa maana ukimuangalia Bw.Lowasa huyu ni simple mind tu, amesomea sanaa Chuo kikuu cha DSM na vikozi vya kuunga unga huko Uingereza hivyo anawezaje hata kuwa na uwezo wa kuitetemesha nchi wakati hata hayupo kwenye madaraka (kama ni kweli yanayosemwa kama siyo propaganda tu)?
Nasubiri kwa hamu hili linalosemwa kutokea, bado siamini ya kwamba mtu mmoja Bw.lowasa anaweza kuiangusha hii nchi, nchi iliyotoka mbali na kufika mbali kwamba inaweza tu kuja kutetemeshwa na mwana sanaa mmoja kutoka Kishumundu, kama Lowassa angekuwa A.Babu hapo ningeelewa au Salim A.Salim au hata Kambona (,,Apumzike kwa Amani")