binti yup anaejiweza yuko tayari kupata pendo langu la kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

binti yup anaejiweza yuko tayari kupata pendo langu la kweli?

Discussion in 'Love Connect' started by Al_morinaga, Mar 25, 2012.

 1. Al_morinaga

  Al_morinaga Member

  #1
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 17, 2012
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hii ni seriouz,me kijana 23yrz,nina mapenz ya kweli kbisa kwa ataenipenda..nina elim nzuri,sina kaz bt kusaka naweza,so natafuta bint asiwe mnene, anaejiweza i mean ana kazi,ataenipenda as nilivo..email yangu hii.
  Kellykifesi@yahoo.com
  au anifate fb..kwa jina la:Kisula Reallove
   
 2. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Duuh pendo la mnada hilo...halafu full kulelewa.
   
 3. k

  klyimo Member

  #3
  Mar 25, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli tumekupata maana hzo qualifications zina jibu lake.
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  miaka 23????????
  Si ni umri wa kuwa shule huu?
   
 5. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,451
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  katakuwa ndio kanamalizi au kamemaliza chuo hivi karibuni! halafu vitoto vya siku vina haraka! sijui ni infatuation!
   
 6. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #6
  Mar 25, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  daah 23 umeshndwa kupata mchuchuu shule zote ulizosoma, maeneo unayoish, mazngra unayozsaka, n.k mpaka uje utafute hapa. eny wei Mungu anajua njia zako.
  ni vema zaidi hata ungetafuta mwenza kwenye foleni za benk au Tanesco kama kwenu hamna LUKU.
  ...Ni mtazamo wangu tu.
   
 7. dorcas1234

  dorcas1234 Senior Member

  #7
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 116
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  23?kazi ipo!
   
 8. KirilOriginal

  KirilOriginal JF-Expert Member

  #8
  Mar 25, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 1,920
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Kula kuliwa ukahaba tu na pepo la ngono, tafuta maisha unawashwa nini? Huo uchi unaoukimbilia utaupata hadi magoti yakulegee.
   
 9. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #9
  Mar 25, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  unataka kulelewa...?.....mbona utakaa sana.....
  jaribu kuongeza elimu kwa umri wako bado sana.....
  labda unaweza kutoka.....ila kwa mwendo huu....mmmh.....

   
 10. R

  Raia Safi Member

  #10
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inaonekana unapenda dezo maana bado kijana mdogo na hata kazi huna japo unadai unaweza kuzisaka.
  Ingeka ni binti(23yrz)kutaka kuolewa nisinge jiuliza sio mvulana.
  Kwa dalili ulizoonyesha kutaka kulelewa nakushauri vuta subira na ujishughulishe vinginevyo madume machafu yaTakuhudumia na mwishowe itabidi ulipe fadhila kwa KUWAHUDUMIA
   
Loading...