Binti yangu kaniandikia hivi, mnisaidie cha kumjibu

LUBEDE

JF-Expert Member
May 7, 2013
4,312
6,638
Wakuu poleni na pirika za kutwa nzima...binti yangu karudi nyumbani baada ya kumaliza masomo yake ya kidato cha sita,leo kuna swali kaniuliza sijamjibu hadi sasa hivi nakosa cha kumjibu,naombeni kwa mwenye uzoefu tubadilishane mawazo nione ingekuwa ndio kaulizwa yeye angemjibu nini mwanae

Majibu naomba yatoke kwa pande zote za akina mama na akina baba ili nipate kubalance mzani wa kipi cha kumjibu

Najua kuna watakaoshangaa lkn kwangu naona ni kawaida kutokana na jinsi nilivyomlea mwanangu,
swali lenyewe ni kama ifuatavyo;-

"Daddy,i just want to ask what things i need to know before being in relationship''
Mwisho wa kunukuu...
 
Mimi na matoto ya kiume kila siku napokea kesi yamegonga watoto wawatu huko mtaani..

Mwanao amekua na ameshapata boyfriend, shukuru anakuamini sana wewe kushinda boyfriend..

Mwambie awe mtu wa Mungu ataingia kwenye relation ambayo haitamuharibia maisha yake.

Mwambie mwanaume anayempenda atakuja nyumbani kujitambulisha
Mwambie yeye ni kama nyanya ipo kwenye fuso inakwenda mnadani ikiivia njiani kabla haijafika mnadani haitapata soko..
 
Back
Top Bottom