Binti yangu amechaguliwa kusoma TIA, diploma in accountancy, je ni nzuri?

Saa mkuu uyo binti yako aliomba bila kujua atakuwa nani

Alafu akukushirikisha kama mzazi katika suala ilo

Mambo mengine ni aibu kwa kweli
 
Ni nzuri ila asibweteke mwambie apige kitabu kwa uhakika maana hii course si lelemama. Akimaliza anaweza kufanya CPA kama bado atakuwa na ubavu wa kupiga kitabu.

Akimaliza masomo anaweza kuajiriwa kama nani ? na ina manufaa mapana ??
 
Jiandae kuletewa wakwe wa ajabuajabu maana hiyo course ni changamoto kwa mabinti,, so challenge
 
Back
Top Bottom