Binti wa TB Joshua kuolewa Arusha

Yaani wewe jamaa hujui lolote unatapika tu ni petroleum engineer jamaa anapiga mzigo pale gasprom naija delta sasa unakuja na bla bla kibao jamaa anakwenda kusali tu kama waumini wengine acha akili zakuambiwa
Sawa bro bora umeongea maana hata mie nilikuwa natafuta ukweli sema tu mbinu zangu ni za kijasusi zaidi 😂😂😂 asante kwa kuleta udau kaka!
 
Back
Top Bottom