Binti wa TB Joshua kuolewa Arusha

chineke jamani nilikua wapi kufahamu hii ishu chuga boy hauja tuangusha sarah kafanana na mshua wake balaa
 
Binti pekee wa mhubiri wa kimataifa wa Naijeria, Temitope Joshua almaarufu TB Joshua, anafunga ndoa jumamosi hii tarehe 8/5/2021 jinini Arusha.

Binti huyo ajulikanae kwa jina la Serah anaolewa na kijana wa kichaga anaeitwa Brian Moshi. Ndoa itafungiwa kanisa la RC- Unga Limited na kufuatiwa na tafrija ya kukata na shoka pale AICC. Bado haijajulikana kama TB Joshua atahudhuria harusi hiyo, na pia hatujajua kama itakua na bia au ni mwendo wa nyuki.

Kwa sheria za kikatoliki, monde ni part and parcel ya tafrija na hasa ukizingatia kabila la muoaji. Wote mnakaribishwa.
Wachagga hawana tofauti na wanigeria, ni opportunists sana, ukifika Lagos ukaona mix races walivo wengi ndio utaelewa.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Binti pekee wa mhubiri wa kimataifa wa Naijeria, Temitope Joshua almaarufu TB Joshua, anafunga ndoa jumamosi hii tarehe 8/5/2021 jinini Arusha.

Binti huyo ajulikanae kwa jina la Serah anaolewa na kijana wa kichaga anaeitwa Brian Moshi. Ndoa itafungiwa kanisa la RC- Unga Limited na kufuatiwa na tafrija ya kukata na shoka pale AICC. Bado haijajulikana kama TB Joshua atahudhuria harusi hiyo, na pia hatujajua kama itakua na bia au ni mwendo wa nyuki.

Kwa sheria za kikatoliki, monde ni part and parcel ya tafrija na hasa ukizingatia kabila la muoaji. Wote mnakaribishwa.
wachagga watu wa fursa sana.
 
Huyu muoaji namjua kwao mambo safi,wala hawana njaa..babake na mamake huwa wanafuatana kama Chai na sukari ibadani, kila MTU anavutiwa nao kwakweli ile ndoa kwa nje ni mfano sijajua kwa ndani ,wako Ungalimited Arusha parokia ya moyo safi wa maria huyu mama anakuwa kama ana asili Fulani au alichanganya damu ya kizungu ni mweupe pee anatupia viwalo balaa mke ya Rais weka pembeni...kuna na binti yao ni kisu hatare yaani wale wa kuogopwa...Mama ni mwekahazina wa parokia....huyo mama aliyevaa kofia ya malkia Elizabeth ndio mama wa kijana baba wa kijana huyo ambaye hajavaa suti nyeusi kwenye cake acheni wivu jamaa yuko njema.
Chonde chote, jirani yake nakuomba nikuagize unitafutie namba za hako kabinti ka familly ya Bwana harusi, Huenda nikabahatika na mimi tukazaa watoto machotara
 
Hongera kwao na kwa msela hasa maana hawa watoto wa vibupa kuwang'oa ni ushindi tosha.

Huyo jamaa kamanangekuwa mkenya ah naona afrika mashariki nzima tungejua lkn kwa sie wanTz wazee wa low profile
 
kabla ya kupost muwe mnauliza kwanza!!
Kwanza ndoa ilishafungwa last year!
Pili ,TBJoshua ana mabinti 3,aliyeolewa ni 1st born sio binti wa pekee,ana wadogo zake 2,Promise na Heart!
Ndo imeshafungwa ya 3 sasa jana ya Kitakoliki,sijui mlikuwa mnambishia nn mleta Uzi..
 
Back
Top Bottom