Binti wa Mzindakaya amkashifu Dr. Slaa kwenye facebook

Status
Not open for further replies.
alijaribu kuchokoza nyuki kumbe mbio hana,alikuja na hoja ya kumtukana dr slaa na kumtetea jk si miliki wa dowans,ameuliza kama si jk nani mmiliki wa dowans?hakuwa na jibu lolote,hakika wasakatonge wapo wengi,kumbuka baba yako mzee mzindakaya alisema ccm itaangushwa na shule za kata 2015
 
Vaileti Mzindakaya nataka special seats kwa kumtumia Dk Slaa, kuna mijadala mingine siyo ya kuanzisha hasa katika kipindi hiki ambao watu msosi tunabahatisha. Namlinganisha na Maria Antonnete wa France aliokuwa anawakejeli maskini. Dawa ni kufyeka kichwa tu.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom