Binti wa Mzindakaya amkashifu Dr. Slaa kwenye facebook

Status
Not open for further replies.
Wewe Vi akili huna ndo maana ulikuwa unapelekwa na mzazi wako kucheza mziki kule kigoma akili za life utazijua wapi wewe!!!
 
huyu dada anavyojibu thread kwenye fb ... IQ yake namfananisha na Topical au Charityboy
 
Sasa hapo kamkashifu nini? si kamwambia kweli, Slaa ni Muongo "kizabizabina" hata Ikulu wamemwambia hayohayo. Ingekuwa si muongo na hajazuwa hapo tungesema kakashifiwa. Sasa jitu limedanganya halafu tena kuliambia kuwa linazua ndio imekuwa kashfa?

Si aweke ushahidi ili amuumbuwe, Salva, Hako kabinti, na mimi hapa, nasema, Slaa Muongo na kadanganya, kama ni kweli alete ushahidi wa aliyoyasema au alivyonukuliwa na lile gazeti au aseme gazeti limemzulia yeye hakuyasema hayo.
 
Ngoja binti aingie humu aanze kuropoka kama wale wa U-turn blog hahaha! Yaani wakuu mmenichekesha sana na comments zenu. Ila nadhani mmeelewa kuwa binti huyu haelewi hali halisi ya Tanzania ni mtoto alidekezwa na kukua bila kujua shida! Hapa nikumsamehe kwani anatufuta ujiko kwa marafiki zake.... birds of same feather flock together...:teeth:
 
Sasa hapo kamkashifu nini? si kamwambia kweli, Slaa ni Muongo "kizabizabina" hata Ikulu wamemwambia hayohayo. Ingekuwa si muongo na hajazuwa hapo tungesema kakashifiwa. Sasa jitu limedanganya halafu tena kuliambia kuwa linazua ndio imekuwa kashfa?

Si aweke ushahidi ili amuumbuwe, Salva, Hako kabinti, na mimi hapa, nasema, Slaa Muongo na kadanganya, kama ni kweli alete ushahidi wa aliyoyasema au alivyonukuliwa na lile gazeti au aseme gazeti limemzulia yeye hakuyasema hayo.

Dr Slaa has never been a liar. Mambo ya EPA na BOT watu walipinga hivi hivi - the rest is history.
Subiri when that pandora box opens my friend!
 
I think her brain stinks and is located between those two logs below, her facial gestures are more terrifying
than satan could have done....better satan some times!!
 
Sasa hapo kamkashifu nini? si kamwambia kweli, Slaa ni Muongo "kizabizabina" hata Ikulu wamemwambia hayohayo. Ingekuwa si muongo na hajazuwa hapo tungesema kakashifiwa. Sasa jitu limedanganya halafu tena kuliambia kuwa linazua ndio imekuwa kashfa?

Si aweke ushahidi ili amuumbuwe, Salva, Hako kabinti, na mimi hapa, nasema, Slaa Muongo na kadanganya, kama ni kweli alete ushahidi wa aliyoyasema au alivyonukuliwa na lile gazeti au aseme gazeti limemzulia yeye hakuyasema hayo.
We Dar es salaam na huyo mkeo violet kama hamtakuja na majibu kamili kuhusu dowans kama serikali hapa mtatuchoka.
Dawa yenu watoto watukutu kama nyie ni manati tu maana bastola sitaki ntaishia jela bure.... Rostam analindwa sana si muwezi....Ila nyie hamnipi shida ngoja niagize manati ya vibomba kutoka arusha.
 
Amekosa adabu hawezi kuwa anaongea na Amir Jeshi mkuu hata nywele hachani. Halafu mdomo wake kama anapiga kitu cha Arusha na Zambia vile

Huyu Binti wa kifipa hana Lolote hawa ndio wale ambao wanaona sasa Meli inazama anashindwa kukubali kwamba imetoboka, Sasa taratibu mpaka meli itatokomea na itabaki kuandikwa kwenye Historia.
 
Tutakula naye sahani moja hadi huko aliko wamwambie kuwa TUNAMFAHAMU vizuri tu.

Akilewa huyu, muulizeni Beno...........
Tatizo langu ni huyu BENO ambae kama mwandishi alivojenga hoja yake ktk mwanahalisi kua huyu bwana watoto wa vigogo wapo nyuma yake na kadi yake ya UVCCM haina miaka mitano nilifanya uchunguzi pale abiani na kuongea na katibu wa tawi aliempa kadi inasemekana ilapewa kadi miaka miwili iliyopita ila alirudisha nyuma mwaka wa kuchukua kadi kwa msaada wa katibu wa vijana wilaya ya kinondoni ambae kwa sas ni katibu wa mkoa wa Tanga Mr Mwita.HAPO NAONA TATIZO LA MAADILI

Pili huyu bwana amehusishwa na tukio chafu na la aibu pale mileenium Tower alipokutwa akifanya ngono usiku saa tano ktk choo cha wanawake yeye na MNEC mwenzie anaetwa Mzindakaya kuna jamaa yupo BOT anazopicha za tukio hilo la aibu likionyesha huyu bwana akiwa anazongwa na Mlinzi.HAPA KUNA TATIZO LA MAADILI
 
Anacheza karata zake vizuri. Kwenye daftari la CCM hapo imemuongezea scores.
 
Hizo personal status za FB zinahusu nini hapa JF? Kiasi watu wakaitwa Vizabina zabina!
 
Hii mitoto ni kama kuku wa kisasa, hawajui shida thats y Inapayuka hovyo...ole wao coz siku zao zinakaribia mwisho...
 
kwani huyu ni binti? aah, wacheni utani jamani, kadume haka hata chuchu hakana itakuwa brain?
 
Kwa nini anasisitiza kwamba anamuheshimu? heshima haimbwi wala haisemwi semwi hovyo.. labda anataka kuchombezwa na mkulu au dr wa ukweli ili naye aheshimike na atoe kwenye fb yake kwamba amechombwezwa na mmjoa kati yao...
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom