Binti wa Miaka 5 Afariki kwa Ukimwi!!! Nani wa Kulaumiwa??!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Binti wa Miaka 5 Afariki kwa Ukimwi!!! Nani wa Kulaumiwa??!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Eng. Smasher, Jan 19, 2011.

 1. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #1
  Jan 19, 2011
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mambo wana JF,mitambo ilinipoteza kidogo nimerudi kama kawa jamvini!!!

  Ni juzi tumetoka kumzika Binti wa miaka 5 ambaye kifo chake kimetokana na maambukizi ya VVU, Kinachosikitisha zaidi wazazi wa huyu Binti wamepima mara 10 baada ya kugundua Binti yao mpendwa ana maambukizi ya VVU ili wajue kama walimwambukiza wao.

  Cha kushangaza wote hawakuwa waathirika,baada ya uchunguzi wa kina ikagundulika aliyemwambukiza ni HOUSEGIRL wao!!!! Huyu HOUSEGAL anasema alikuwa akitumia wembe kukata kucha kwa bahati mbaya akajikata, baadae yule Binti nae akchukua the same wembe akawa anauchezea akawa kajikata.

  Hivyo ndo alivyoambbukizwa Binti huyu VVU hadi mauti ikamfika!!!Pls wazazi sijui 2tawalinda vipi watoto wetu kutokana na huu mkasa coz 2nakuwa bizzy kuanzia asubuhi hadi jion. Naomba maoni yenu JF!!!! Pamoja
   
 2. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hbari ni ya kusikitisha, but ur story doesn't add up!
   
 3. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #3
  Jan 19, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  tuanze kuwa pima ma housemaids
   
 4. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #4
  Jan 19, 2011
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Fafanua hapo pls!!

   
 5. Desidii

  Desidii JF-Expert Member

  #5
  Jan 19, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 1,212
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hizi kesi zipo nyingi sana houseboy kamwambukiza mtoto ukimwi,
  housegirl kambaka mtoto wa kike na kumwambukiza ukimwi.
  Tumuombe mungu tu atusaidie katika hili.
  Hatuwezi kuacha kazi na kukaa home kuchunga watoto muda wote
  watakwenda kucheza pia
   
 6. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #6
  Jan 19, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hii si mara ya kwanza kwa haya mambo kutokea tulisikia huko kenya watoto wote wafamilia waliambukizwa na house girl ukimwi.
  Wazazi wengi wamepoteza vijana wao wa kiume kwa ukimwi through kuambukizwa na ma house girl.
  Pia nyumba nyingi zimeingia katiaka maambukizi through baba kutembea na house girl.
  Si semi ma house girl tu ndio wano eneza ukimwi , isipokuwa huwa tuna wachukua hawa watu bila kujua historia yao ya nyuma.
  Na wengi wa mahouse girl wanamaisha duni so huwa wanajikuta wakitumika bila kujali sana afya zao na ukimwi kwa ujumla ili tu waweze kupata riziki zao..
  Kuna umuhimu wa kujua historia za hawa watu kabla hujawafanya sehemu ya familia yako ni watu muhimu sana kwa familia.
   
 7. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #7
  Jan 19, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Hadi pale housemaids watakapochukuliwa kama ajira nyengine tatizo halitakwisha
   
 8. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #8
  Jan 19, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Ooh mungu wangu.
  Sa zingine waajiri wanawafanya housegirls wawe na roho mbaya.
  Hebu muwapende kama mnavyowapenda watoto wenu.
   
 9. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #9
  Jan 19, 2011
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Lakini hii issue inavyoonekana ni bahati mbaya coz House girl alisahau ule wembe!!
  Pia inawezekana hakuwa aware kama alikuwa mwathirika!!!

   
 10. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #10
  Jan 19, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Kazi ya childcare nje ya nchi ina taratibu ngumu na sio kama tunavyotaka kuchukua sisi bongo. Cha bure gharama wakuu.

  Tungelifuata taratibu za kazi ya childcare basi tungehakikisha kunafanyika health check ups na pia mafunzo ya kukaa na mtoto
   
 11. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #11
  Jan 19, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ni habari ya kusikitisha ila tuangalie nini cha kufanya.

  Na 1 - Wakati tuna hire house girl/boy inabidi kuwapima nafikiri

  Upande wa kushare hizi tools inabidi iwe culture. Mfano mimi hapa binti yangu wa miaka nane alikataa ku share nail cutter na mimi sababu amefundishwa shule vitu ambavyo hatakiwi ku share. Nafikiri huu utamaduni ni vizuri tuka urisisha kwa watoto. Bali kuna issue nyingine ya vinyozi nafikiri kila mtoto anahitaji kuwa na mashine yake.
   
 12. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #12
  Jan 19, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Sidhani kama ni haki kumpima housemaid bila ya kuwa na mkataba wa kazi unaonyesha makubaliano yenu mengine

  Kazi ya uyaya tumeishusha thamani wenyewe na haya ndio matokeo yake.

  Hivi mnajua kuwa Kwenye nchi za Kimagharibi, wanafunzi wa chuokikuu wanafanya uyaya as a part time job?

  Kwetu unadhani kwanini mayaya wengi karibu ya wote hawamaliza hata form four?
   
 13. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #13
  Jan 19, 2011
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  So inamaanisha 2check elimu zao na sio kucheck AFYA??

   
 14. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #14
  Jan 19, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Utampima afya kwa misingi ipi? Watu wa haki za binaadamu utawaeleza nini?

  Iwapo kutakuwa na mikataba ya kazi kisheria utakuwa na haki ya kujua afya yake lakini sio kumpima afya kwa kuwa tu hajui haki zake.

  Tukichukua maids wenye elimu ya kutosha hata uelewa wao utabadilika kwenye mambo mengi lkn tatizo linakuja kwenye mshahara, hatutaki kulipa vizuri kwa hiyo tunakhiari kuchukua asiyesoma kabisa
   
 15. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #15
  Jan 19, 2011
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hapo nimekupata!! Thanks GAIJIN

   
 16. Trustme

  Trustme JF-Expert Member

  #16
  Jan 19, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,172
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Huyo h/g anambaka mtoto wa kike kiaje! au msagaji?
   
 17. MADAM T

  MADAM T JF-Expert Member

  #17
  Jan 19, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 3,672
  Likes Received: 941
  Trophy Points: 280
  Maskini watoto wetu, tufanyeje sasa..
   
 18. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #18
  Jan 19, 2011
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hilo ndo swali la kujiuliza ingawa GAIJIN kesha 2pa za kwake!!
  Pls 2shirikiane ambao mna mahouse gal coz nataka kuingia huko!

   
Loading...