Ndugu zangu nakuja kwenu kupata ufahamu kwa walionao, nina ndugu yangu binti wa miaka 28 amekuwa anasumbuliwa sana na tonses za mara kwa mara. Najaribu kuangalia mwenendo wake na hali hii ya kuwa na tonses za mara kwa mara napata shaka huenda akawa na complications. Nimejaribu kila njia kumpeleka hospital akachunguzwe amekuwa hatoi ushirikiano. J e anaweza kuwa ameathirika? huwa anarudiwa na hali hiii kwa week mara mbili au zaid. Ushauri wenu utanisaidia