Binti wa Kinyambo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Binti wa Kinyambo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mchapaji, Apr 21, 2010.

 1. Mchapaji

  Mchapaji Member

  #1
  Apr 21, 2010
  Joined: Mar 22, 2010
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Za mida hii wadau...
  Tafadhali naomba mnipe data kuhusu mabinti wa Kinyambo....
  Kuna mdada mmoja wa Kinyambo nimemzimia sana ila nikaona ni vyema niulize hapa kujua asili ya mabinti wa kabila hilo.
   
 2. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Ni wazuri kwa sura ngozi inateleza lakini ...............................kafanye research kijijini kwao
   
 3. Mchapaji

  Mchapaji Member

  #3
  Apr 21, 2010
  Joined: Mar 22, 2010
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ha ha haaaaaa! Shukrani FD ila ungeendelea tu....
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  wanyambo ni watu wa wapi?
   
 5. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Ndo leo nasikia hilo kabila!! Tujuze ni mkoa upi wanatoka hao watu?
   
 6. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #6
  Apr 21, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Wanyambo ni wenyeji wa Karagwe. Ila sasa wamechanganya sana na makabila ya Rwanda na Burundi.

  Wanyambo of Tanzania, a girl who became pregnant before marriage was required to confess, and the man responsible was forced to marry her. Today the man responsible is only required to pay a bride price to her parents and to accept supporting the child financially
   
 7. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #7
  Apr 21, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Wazuri ila hawakatai wakiombwa mchezo, wana roho mbaya sana ni wakatili kama nzunguyeye
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Apr 21, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Kama ushamzimikia tayari huyo dada, we hutaelewa, hutasikia, na hutakamata chochote utakachoambiwa na mtu hapa...
  Kupenda upofu..
  Kama umempenda, nenda kwa wazazi wake katoe mahari mfunge ndoa muanze maisha yenu mapya...Usipende kufuatilia mambo ya kabila miaka hii!
   
 9. Kwetunikwetu

  Kwetunikwetu JF-Expert Member

  #9
  Apr 21, 2010
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 1,544
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Yale mambo yetu wanapiga muziki mzito kinoma
   
 10. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #10
  Apr 21, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  wana roho mbaya sana na iko kwenye damu yao..
  kwa hiyo wewe uliyemzimikia Binti mapenzi hayachagui endelea tu
   
 11. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #11
  Apr 21, 2010
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,459
  Likes Received: 2,045
  Trophy Points: 280
  wengi uwa wanakeketwa jaribu kuchunguza vizuri
   
 12. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #12
  Apr 21, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Kabila is nothing bana kama umemzimia m'disqualify kwa vigezo vingine lakini si kabila.
   
 13. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #13
  Apr 21, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Kweli mkuu. Sijaona sababu ya mleta hoja kuchimba chimba kabila ya mtu, tena anayesema kampenda. Labda kama kaambiwa kuwa kuna binti anamfaa basi anaweza kufanya utafiti wake pembeni. Vinginevyo anatafuta taarifa ambazo zinaweza kumuachia vidonda. Kwani anaweza kuambiwa mabaya ya kabila la mpenzi wake na kwa kuwa hataweza kumwacha basi ataishi na hilo donge maisha yake yote. Kwa nini ujitafutie majuto. Namshauri ausikilize moyo wake kutoka kila upande wa dunia (E,W, N & S) halafu afanye uamuzi.

  Nachukia sana mambo ya kujadili makabila ya watu kana kwamba sisi ni malaika au makabila yetu ndiyo kipimio (SI unit).
   
 14. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #14
  Apr 21, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Taratibu FL1...
   
 15. Katibukata

  Katibukata Senior Member

  #15
  Apr 21, 2010
  Joined: Dec 27, 2007
  Messages: 183
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  duh !! Umenikumbusha mbali sana... mabinti wa kinyambo walio wengi wanafaa kuwa wake. Ni wazuri na wana heshima.
   
 16. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #16
  Apr 21, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  DC mie nawaona na mmoja alikuwa ameolewa na Uncle wangu alikuwa mrembo weeh sipati kukwambia tall ,white ,Ngozi Nyororo kama hariri ..lakini du ndo hivyo....
   
 17. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #17
  Apr 21, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Ni hatari sana katika "shuhuli' hao mabinti wa Kinyambo.

  Kule Karagwe, magodoro katika nyumba nyingi za kualala wageni (gesti hausi) yamevishwa makaratasi ya nailoni au mipira kama ile ya kumtandikia watoto..Nadhani kanma hajazaliwa mujini (hybrid), utakiwa unaijua khabari yake na hapa huwezi hata kusikiza ushauri.
   
 18. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #18
  Apr 21, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Kwani nabisha basi. Shida yangu ni ukali wa comments. Huwezijua mmoja wapo kati wasomaji/wachangiaji ni kaka yao au ni mmoja wao. Tabia mbaya haiweza kuwa sifa ya jamii au kabila, bali mtu binafsi. Ndo maana mimi binafsi nachukia na sipendi sana mijadala ya jumla jumla kama hii ya kuhusu kabila!
   
 19. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #19
  Apr 21, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Mhh, inawezekana lakini katika pita pita zangu huko Karagwe sikuwahi kuona kitu kama hicho. Labda mwenzetu ulienda maalumu kukitafuta!

  Ngoja tusubiri Baba Enock atusaidie.
   
 20. A

  Audax JF-Expert Member

  #20
  Apr 21, 2010
  Joined: Mar 4, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwa upeo wangu nawafahamu kidogo-ni watu wa kawaida tu hawana makuu na kwa taarifa fupi wana heshima na ni wasikivu. Katika maisha ya ndoa haman ushauri wa kuambiwa huyu anakufaa huyu akufai kwani ni wewe utakayeenda kuishi naye wala c mwingine.
  Maisha tuanyoishi sasa ningependa kuwashauri ambao hawajaoa au kuolewa. Hamana kabila safi saana au chafu saana maana huwa naamini ya kuwa tabia ni kitu ambacho ni personal kwani baba anaweza kuwa mwizi lakini watoto wasiibe.

  Kuweni makini-tuchangie kwa upande wa kujenga na wala c kubomoa maana ushauri unaotolewa humu ndani sometimes haufai.
   
Loading...