Binti wa Kilokole Aonja Mapenzi, Apagawa na Kutembea na Wanaume 900 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Binti wa Kilokole Aonja Mapenzi, Apagawa na Kutembea na Wanaume 900

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MziziMkavu, Nov 26, 2009.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Nov 26, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,599
  Trophy Points: 280
  <table style="width: 491px; height: 277px;" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr><td colspan="3" style="padding-left: 10px; padding-top: 5px; width: 491px;">
  </td> </tr> <tr style="background-color: rgb(225, 225, 225); padding-top: 10px;"> <td style="width: 250px; padding-left: 5px; padding-bottom: 5px; padding-top: 5px;" valign="top">
  [​IMG]
  Victoria Betteridge</td> <td style="padding-left: 10px; width: 316px;" valign="top"> Wednesday, October 28, 2009 6:44 AM
  Mwanamke mmoja wa nchini Uingereza aliyeyelelewa katika mazingira ya msimamo mkali wa dini chini ya ulinzi mkali kiasi cha kupigwa marufuku kusimama na kuongea na wanaume, alionja ladha ya kufanya mapenzi akiwa na umri wa miaka 19 na ghafla alipagawa na kuanza kugawa uroda kwa fujo kiasi cha kufanya mapenzi na wanaume 900 ndani ya miaka 9.</td> </tr> <tr> <td colspan="3" style="vertical-align: top; width: 491px;"> Victoria Betteridge wa ambaye hivi sasa ana umri wa miaka 28, alilelewa katika familia ya kikatoliki yenye msimamo mkali wa mambo ya dini.

  Alisomeshwa katika shule za wasichana pekee na alipigwa marufuku kusimama na wanaume.

  Lakini juhudi za familia yake kumpa malezi bora na kumtaka ajishughulishe na masomo pekee na si wanaume, zilipotea alipoanza masomo katika chuo kikuu kinachoheshimika duniani cha Oxford akiwa na umri wa miaka 18.

  Katika siku yake ya kwanza chuoni hapo, alionja pombe na hatimaye alilewa na kunyonyana ndimi na mwanafunzi mwezake aliyejulikana kwa jina moja la Tom.

  Wakati huo hakuwa na ujasiri wa kufanya naye mapenzi na hivyo siku hiyo iliisha wakinyonyana ndimi pekee.

  Baada ya miezi sita chuoni hapo, Victoria alitimiza umri wa miaka 19 na hapo ndipo alipopata ujasiri wa kuitoa bikira yake kwa Tom.

  Victoria ghafla alitokea kupenda kufanya ngono na alikuwa akimtaka Tom wafanye mapenzi zaidi ya mara tatu kila siku.

  Mambo yaliendelea hivyo kwa muda lakini hatimaye Tom aliishiwa nguvu na kushindwa kumtimizia haja zake za kimapenzi Victoria.

  Baada ya wiki kupita bila kufanya mapenzi na Tom, Victoria alijitosa baa na kutafuta mwanaume mwingine aliyefanya naye mapenzi usiku huo.

  Hapo ndipo Tom alipoonekana hafai na Victoria akaanza kuwabadilisha wanaume kama anavyobadilisha nguo zake.

  Kila wiki alikuwa akitembea na wanaume wawili tofauti na katika kipindi cha miaka 9, Victoria anakiri alifanya mapenzi na wanaume 900 tofauti. Hii inamaanisha kwamba kila mwaka alikuwa akitembea na wanaume 100 tofauti.

  Victoria alidai kuwa wakati wote hutumia kinga na hufanya vipimo vya magonjwa ya zinaa mara kwa mara.

  Victoria alikiri kwamba alikuwa hajali ni mwanaume gani anafanya naye mapenzi alikuwa haangalii utanashati wala pesa, alichotaka yeye ni kufanya mapenzi tu.

  Victoria aliendelea kusema kuwa alikuwa akihakikisha wanaume anaotembea nao hawajaoa na alikuwa akipenda kuona sura zao wakati anapowafukuza kitandani asubuhi waondoke nyumbani kwake na wasimtafute tena.

  Tabia hiyo ya Victoria imesababisha kutokuwepo kwa maelewano na wazazi wake.

  "Baba baada ya kuambiwa na marafiki zake kuwa nawabadilisha wanaume kama nguo, alikuja nyumbani kwangu kunionya na nilimwambie "hayamhusu"", alisema Victoria na kuongeza "Tangia siku hiyo hakuongea na mimi tena".

  Victoria anadai kwamba malezi aliyolelewa utotoni yalimbana sana na ndiyo maana alipopewa uhuru aliutumia namna hiyo.

  Victoria alidai kwamba hajutii matendo yake anayoyafanya ingawa alisema anajaribu kubadilika siku hizi na kuiacha tabia hiyo.

  Ameanza kufanya mazoezi gym ili kujaribu kupoteza muda akiwa gym na kupunguza idadi ya wanaume kwenye maisha yake.

  Hivi sasa anatafuta mwanaume mwenye hamu ya mapenzi kama yake ili aanze maisha mapya bila kutembea na wanaume wengine nje.</td> </tr> <tr> <td colspan="3" style="vertical-align: top; text-align: center; width: 491px;"> http://www.nifahamishe.com/NewsDetails.aspx?NewsID=3423166&&Cat=7
  </td> </tr> <tr> <td colspan="3" style="vertical-align: top; width: 491px;">

  </td></tr></tbody></table>
   
 2. Mvina

  Mvina JF-Expert Member

  #2
  Nov 26, 2009
  Joined: Aug 2, 2009
  Messages: 1,000
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Hii kitu itakuwa imetumika sana ingekuwa inaonekana tungesoma milage!
   
 3. f

  freddywm Member

  #3
  Nov 26, 2009
  Joined: Jun 13, 2007
  Messages: 17
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 5
  Kazi kweli kweli,Dunia imeisha
   
 4. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #4
  Nov 26, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Wazungu saa ingine nao wanapenda kuweka record za kijinga sidhani kama ni kweli hata machangu wenyewe sidhani kama wanafikisha hio idadi
   
 5. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #5
  Nov 26, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Wanaume 900 ni kitu ambacho hakiwezekani kwa msichana, huu ni uongo mweupe.
   
 6. B

  Baija Bolobi JF-Expert Member

  #6
  Nov 26, 2009
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 929
  Likes Received: 696
  Trophy Points: 180
  Nakubaliana nawe Prety.
  Wanaume 900 ni vigumu, labda mara 900.
  Wanaume 900 kuna hatari ya kukutana na baba mzazi na hasa kama mtu hasafiri mbali maana ndani ya perimeter yenye uwezekano wa kupata wanaume 900 bila kukutana ba biological person inakuwa ngumu!
   
 7. Soulbrother

  Soulbrother JF-Expert Member

  #7
  Nov 26, 2009
  Joined: Apr 14, 2009
  Messages: 408
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  wanaume 900, ndani ya miaka kumi... kwani ilikuwa kimoja kimoja au alikuwa kahaba?
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Nov 26, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 21,996
  Trophy Points: 280
  dah....
  nani anauthibitisho kuwa huyo amemegwa na watu wote hao?
   
 9. Mopao Josee

  Mopao Josee JF-Expert Member

  #9
  Nov 26, 2009
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Angekuwa anachuna dola 100 kwa kila mwanaume angekuwa na apartment mjini na after all kila mwezi lazima aifanyie operation machine otherwise atakuwa na kisima.mpeni pole.....
   
 10. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #10
  Nov 26, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,420
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Nini kisichwezekana? Wanaume 900 kwa miaka 9 ni sawa na wanaume mia kwa mwaka na wanaume 8 kwa mwezi wanaume 0.27 kwa siku..nini kisichwezekana.
  Tatizio wengi hamuweki rekodi zenu....zinaweza zikatisha! However, she must be worn out!
   
 11. w

  wakumbuli Senior Member

  #11
  Nov 27, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hongera kwa kutumia kinga kama unajali kwa nini usifanye sasa,kama kawaida dada kila kitu na wakati wake usilazimishe kuacha,yenyeweeeeeeeeee hamu itapotea
   
Loading...