Binti wa Bill Gates, waliosema hayawi sasa yamekuwa...

Ni haramu mwanamke wa kiislamu kuolewa na mwanaume kaffir
Uislam umechagua kumpa jina la kaffir mtu yeyote anayepingana na uislam, hapo sio atheists tu mpaka wakristo.

At the same time wanakuja kutuomba michango ya misikiti au madrasa sisi ambao wanatuita makaffir

Waarabu wenye dini na misimamo mikari ya sharia, bado wamekua wakihitaji msaada kutoka nchi ambazo zimejaa makaffir kama china ambayo zipo hadi clip zinazoonesha raia wakipiga kiberiti kuran

Ukiangalia kwa jicho la tafakuri utaona unafki wa muarabu uliyojificha nyuma ya neno hilo

Kwa hiyo hata mimi navyooa ni makubaliano yangu mimi na huyo mwanamke, as long as kanielewa basi fresh tu.
 
Waislam tunakuja juu kwa kasi hapa duniani, na balon dor mwaka huu Inabebwa na mwislam kwa Mara ya Kwanza, mwamedi salaha jiandae kubeba baloni Doo sioni wa kukusumbua hapo
Hii dini inashida nyingi sana..huwa nikiwaangalia nabak nacheka tu! Mbumbumbu ni nyingi sana..haswaa kwa watu weusi..yaan ni zero brain! Nilikaa na mnigeria mmoja (muislam)..jamaa alikuwa anatia aibu akiwaona waarabu..yaan hadi kero..ebu wacheni ujinga bhana
 
Watakufa na vijiba vya roho??? Kwani kuna mtu humu ndani alisema anataka kumuoa huyo mtoto wa bill gate? Au kuna mtu alisema anataka kuolewa na huyo mume wa mtoto wa bill gate?
 
Back
Top Bottom