Binti Neema Peter Assenga mwenye miaka 23 ametoweka, anatafutwa na ndugu zake

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,058
Msichana Neema Peter Assenga mwenye umri wa miaka 23 ambaye ana tatizo la kupoteza fahamu anatafutwa na ndugu zake baada ya kutoweka nyumbani kwa muda wa wiki moja sasa.
Dada yake Paulina Assenga amesema wamepiga simu kwa ndugu wao wa karibu hapa Dar na ndugu wengine Moshi lakini bado hajapatikana na sasa wamepeleka taarifa polisi na atakayemuona atoe taarifa polisi au apige simu namba 0657 33 40 25
 
Back
Top Bottom