barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,866
Binti Getrude Clement mwenye umri wa miaka 16 kutoka Jijini Mwanza Tanzania amehutubia hafla maalum kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa, New York, Marekani kama mwakilishi mtandao wa wanahabari watoto wa Shirika la Kuhudumia Watoto Duniani, UNICEF.
Aliwakilisha vijana kutoka ulimwenguni kote alipohutubia Baraza hilo.
Nimependa binti alivyohutubia kwa kujiamini, lakini ningefurahi zaidi mimi binafsi kama hapo mbele ya jina "Clement" kumgekuwa na jina jingine kama G.Clement Masanja, G.Clement Mahigi n.k
Wakati mwingine majina hutambulisha utaifa na utamaduni wetu. Hongera binti kwa kutuwakilisha vyema kama Taifa.