Mbalamwezi1
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 2,071
- 2,010
Majina "rafiki" katika mabano husaidia, Diamond Platnumz, Harmonize n.k husaidia kutoka kibiashara. Naamini ukifanya google search utapata majina yote kamilifu kikubwa wasanii wajitambulishe wanatoka Tanzania na siyo Tz, Bongo au K'doni kama wanataka kuwa "rafiki wa google search" au "YouTube search".[/QUOTE][QUOTE="Mbalamwezi1, post: 18931853, member: 189]Mimi yanachonikera malimbukeni yakiendaga ughaibuni kwa nini huwa hayataki kutumia majina ya koo zao?!eti'Herieth Paul' mmxiuuuu
Mkuu sanaa haina jina rafiki ni utumwa wa kifikra tu unatusumbua waafrika,kina Lupita Nyong'o,Oliver Mtukudzi,Mrisho Mpoto mbona hawana majina hayo unayoita rafiki lkn bado ni wasanii wakubwa tu!Emancipate yourself from mental slavery