James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,112
- 13,340
mkuu unajua umejibainisha kama msomi ktk hii thread sasa baadhi ya majibu yako yanaonesha kam vile unapaniki. umeifananisha elimu ya kitila na uchafu inamaana hajaelemika. ungeweza kuomba mchango wa elim ya kitila bila kutoa lugha ya kuudhi. kiufupi tuu kitila mpak kuteuliwa kwake alikuwa mhadhiri mwanadamizi ktk chuo kikuu cha dsm. Hii tu inanipa mimi kusema kuwa elimu yake imeisaidia jamii ya tz sihitaji kujua elimu yako wala imeisadiaje jamii lakini ya kitila inajulikana.Mchangu upi ambao hata wewe huujui? Hata minyoo ina michango ktk kueneza magonjwa.