Binti Makamba unatisha

Status
Not open for further replies.
Kama mumewe hana shida nayo wewe endelea tu kuyachukia.
Huo ndio ukweli...naukubali! Mkuu, wewe vipi unamuonaje akiwa na hilo wigi? Wakati mwingine mume inaweza kumuwia ngumu kumwambia mkewe hapendezi....so kama mwam anapita humu inaweza kusaidia pia.
 
Binafsi mtazamo wangu kuhusiana na hayo ma-kafa ulaya ni kama wako. Sipendi kabisa hayo manywele bandia mimi. Ila pia sina shida na hao wadada wanaoyapenda. Kama wao wanayapenda mimi hainisumbui hata kidogo.
 
Ni kweli. Mwamvita hawezi kusema hivyo. Lakini kwa vile hawezi kusema hivyo, hiyo haiondoi ukweli uliopo. Na ukweli ninaouzingumzia ni ukweli wa kuwa huru kuchagua huduma toka kampuni zingine.

Mimi nishawahi kuvunja mkataba na Dish Network na kuhamia DirecTV kwa sababu sikupenda kauli za mmoja wa CSR wao. CSR alinibembeleza lakini nilisimamia msimamo wangu.

Kwa hiyo unaelewa umuhimu wa presentation ya CSR kwa wateja. Kwa kifupi hicho alichofanya Mwamvita hakikuwa necessary, na kinaweza kui affect image ya kampuni negatively. Kwa hiyo si kitu makini.
She works for Vodacom. If Vodacom doesn't see anything wrong with how she conducts herself outside of work then your noise won't matter. And I believe Vodacom has it's own code of ethics. The don't have to take their cues from Kiranga.

Kama unaelewa biashara huwezi kusema hivyo. Input ya mteja mara zote ni kitu muhimu kwa mfanyabiashara.

Campaign gani? Fire Mwamvita?

This is bigger than Mwamvita, hii inaonyesha Vodacom hawajaajiri watu makini, and by asociation, Vodacom si kampuni makini.

Whose ethics are you talking about here? Your ethics or Vodacom's ethics?

PR professional ethics

Last I knew many business entities have their own sets of ethics and codes of conduct. Mwamvita works for Vodacom. So long as she hasn't violated any of their ethics is all that counts.

What distinguishes a good company from a sloppy one includes whether that company adhere to industry wide ethics standards. Na kama Vodacom inaruhusu the image of the company kujiparade hivi katika viblog ya vikungwi uchwara vinavyofanya/ chochea biashara ya human trafficking basically, basi Vodacom si kampuni makini.

Hela si zake kaka?

Hili halijulikani.

Sasa asizitumie?

Hata akiyumia kivyake, kujiparade mtu wa PR anaharibu image ya kampuni.

Wewe si mbepari wewe?

Mimi si mbepari wala mjamaa, halafu nabadili muelekeo kila siku kumpita Romney.Kitendo cha wewe kutaka kunisoma tu kinabadili mtazamo wangu.

Au umegeuka mjamaa siku hizi?

Haya ni maswala ya corporate responsibility/ PR ethics na lack of judgement. Hakuna ideology hapa, haya ni mambo yaliyo transcend ideology.

Anyhow, Mwamvita yuko kwenye private sector.

Watu washawahi kususia ndizi kwa sababu ma plantation ya ndizi huko Costa Rica yalikuwa yanamwaga dawa kwa kutumia ndege, na dawa zilikuwa zinaingia kwenye visima vya maji yaliyokuwa yanatumiwa na wafanyakazi kwenye hayo ma plantation.Na hii ilikuwa private sector.Swala si kwamba kampuni ni ya umma au binafsi, corporate social responsibility inaweza kuwa enforced na consumer popote pale kwa kupitia purchasing power.

Anafanya kazi na kulipwa mshahara. Huo mshahara ni haki yake. Na jinsi autumiavyo huo mshahara is none of anyone's business except maybe for her husband and daughter.

Ndipo hapo inapobidi tuulize labda Vodacom inatu charge bei za juu sana bila sababu maalum ili tu wafanyakazi wake waweze ku afford kwenda shopping extravagant Dubai. Hatutaki kuvunjika migongo kulipa bills za juu ili tu ku sustain maisha ya anasa ya wachache.

So I just don't get what your fuss is all about.

This is not a fuss, this is a movement towards making consumers more aware about corporate responsibility and corporate ethics.
 
Ukimuangalia Mwamvita,na baba yake characters zao ziko tofauti sana hata sijui huwa wanaongea nini!!
 
Sasa nimeshaanza kukuelewa hoja yako ya msingi. Sasa mbona umechukua muda mrefu sana kueleza machungu yako. Kumbe tatizo siyo Mwamvita kupiga picha hotelini ila kuzitoa kupitia blogspot ya Mange. Ndiyo maana nilisema wewe una matatizo yako binafsi na hiyo hoja ya ethics sijui nini ni pretext tu.

Watu wasio upeo ukianza kuongea mambo ya corporate responsibility, professional ethics yanawapita mbali, hata hawaelewi.

Ukiongea MANGE, bifu etc, ooh, hapo wanaelewa kirahisi tu.

Tatizo lako nishalijua, upeo mdogo. Lazima urahisishe kila kitu kwenye common denominator ya personalities na lowlevel shenanigans. Ndiyo maana mimi na wewe hatuwezi kuona vitu sawasawa.
 
yeah mwami mkali sana toka shingo kushuka chini anabamba,ila hapo mdomoni lol!no way kidogo inatakiwa afanyiwe kazi ya ziada na ma-dentist kuporomoa yale meno (sijui mwanya,sijui pengo) ya mbele yanamuharibia reception bana
 
Kwa hiyo unaelewa umuhimu wa presentation ya CSR kwa wateja. Kwa kifupi hicho alichofanya Mwamvita hakikuwa necessary, na kinaweza kui affect image ya kampuni negatively. Kwa hiyo si kitu makini.

Hakikuwa necessary? Huo ni mtazamo wako na sidhani kama ni mtazamo sahihi. Mwamvita hakuwa kazini hapo. Alikuwa kwenye muda wake. Na hakuna baya alilofanya. Kusema haikuwa necessary unaonekana kama unataka kumpangia jinsi ya kuishi maisha yake.

Kama unaelewa biashara huwezi kusema hivyo. Input ya mteja mara zote ni kitu muhimu kwa mfanyabiashara.

Ni kweli. Customer input na feedback ni muhimu. Lakini uliza biashara yoyote ile kama wanafanya yote yale ambayo wateja wanayalalamikia au kuyapendekeza.

This is bigger than Mwamvita, hii inaonyesha Vodacom hawajaajiri watu makini, and by asociation, Vodacom si kampuni makini.

That's your opinion and you are entitled to it. Others feel the opposite.

PR professional ethics

Can you list them?

What distinguishes a good company from a sloppy one includes whether that company adhere to industry wide ethics standards. Na kama Vodacom inaruhusu the image of the company kujiparade hivi katika viblog ya vikungwi uchwara vinavyofanya/ chochea biashara ya human trafficking basically, basi Vodacom si kampuni makini.

Hakuna kibaya alichokifanya Mwamvita. Angepiga mapicha ya utupu na kubandikwa huko kwa Mange hapo ningekubaliana na wewe. Lakini kupiga picha yuko mall kwenye hayo maduka is harmless to me and it doesn't reflect anything on Vodacom.

Hili halijulikani.

Mengi tu hayajulikani!

Hata akiyumia kivyake, kujiparade mtu wa PR anaharibu image ya kampuni.

Umeng'ang'ania eti kajiparade...kajiparade kivipi? Yaani kupiga/kupigwa picha imekuwa nongwa? Kaazi kweli kweli.

Mimi si mbepari wala mjamaa, halafu nabadili muelekeo kila siku kumpita Romney.Kitendo cha wewe kutaka kunisoma tu kinabadili mtazamo wangu.

Hahahaahaaa...you couldn't resist going there huh? Either way your boy O is toast. Can't wait for Nov. 2012.

Haya ni maswala ya corporate responsibility/ PR ethics na lack of judgement. Hakuna ideology hapa, haya ni mambo yaliyo transcend ideology.

Hivi Mwamvita kavunja miiko gani ya kazi yake katika hizo picha alizopiga? Manake umeng'ang'ania ethics..ethics....hebu zitaje hizo ethics alizozikiuka na utoe chanzo tafadhali.

Watu washawahi kususia ndizi kwa sababu ma plantation ya ndizi huko Costa Rica yalikuwa yanamwaga dawa kwa kutumia ndege, na dawa zilikuwa zinaingia kwenye visima vya maji yaliyokuwa yanatumiwa na wafanyakazi kwenye hayo ma plantation.Na hii ilikuwa private sector.Swala si kwamba kampuni ni ya umma au binafsi, corporate social responsibility inaweza kuwa enforced na consumer popote pale kwa kupitia purchasing power.

Ndo maana nikasema kama kuna wateja wa Vodacom na hawapendi jinsi Mwammy anavyoishi basi wajiunge na Airtel au Tigo. Nina uhakika huko watapokelewa kwa kutandikiwa zulia jekundu.

Ndipo hapo inapobidi tuulize labda Vodacom inatu charge bei za juu sana bila sababu maalum ili tu wafanyakazi wake waweze ku afford kwenda shopping extravagant Dubai.

Voda na Airtel na Tigo wana tofauti kubwa katika bei zao?

Hatutaki kuvunjika migongo kulipa bills za juu ili tu ku sustain maisha ya anasa ya wachache.

Kama hamtaki acheni kutumia huduma zao. Simple as that. Hamjalazimishwa kujiunga na Voda. Kipi kigumu kuelewa hapo?

This is not a fuss, this is a movement towards making consumers more aware about corporate responsibility and corporate ethics.

Good luck!
 
Hakikuwa necessary? Huo ni mtazamo wako na sidhani kama ni mtazamo sahihi. Mwamvita hakuwa kazini hapo. Alikuwa kwenye muda wake. Na hakuna baya alilofanya. Kusema haikuwa necessary unaonekana kama unataka kumpangia jinsi ya kuishi maisha yake.

Ni kweli. Customer input na feedback ni muhimu. Lakini uliza biashara yoyote ile kama wanafanya yote yale ambayo wateja wanayalalamikia au kuyapendekeza.

That's your opinion and you are entitled to it. Others feel the opposite.

Can you list them?

Hakuna kibaya alichokifanya Mwamvita. Angepiga mapicha ya utupu na kubandikwa huko kwa Mange hapo ningekubaliana na wewe. Lakini kupiga picha yuko mall kwenye hayo maduka is harmless to me and it doesn't reflect anything on Vodacom.

Mengi tu hayajulikani!

Umeng'ang'ania eti kajiparade...kajiparade kivipi? Yaani kupiga/kupigwa picha imekuwa nongwa? Kaazi kweli kweli.

Hahahaahaaa...you couldn't resist going there huh? Either way your boy O is toast. Can't wait for Nov. 2012.

Hivi Mwamvita kavunja miiko gani ya kazi yake katika hizo picha alizopiga? Manake umeng'ang'ania ethics..ethics....hebu zitaje hizo ethics alizozikiuka na utoe chanzo tafadhali.

Ndo maana nikasema kama kuna wateja wa Vodacom na hawapendi jinsi Mwammy anavyoishi basi wajiunge na Airtel au Tigo. Nina uhakika huko watapokelewa kwa kutandikiwa zulia jekundu.

Voda na Airtel na Tigo wana tofauti kubwa katika bei zao?

Kama hamtaki acheni kutumia huduma zao. Simple as that. Hamjalazimishwa kujiunga na Voda. Kipi kigumu kuelewa hapo?

Good luck!

Your girl is tastelessly tacky and an embarassment to the preofession.

Wewe kawaida yako kuwa back losers kama Gov. Perry, so this is not surprising.
 
mimi sielewi mtu kama mwamvita kuwa na ushoga na mtu kama mange

haingii kabisa akilini

She is probably more like Mange than we know, but knows how to tread her path more carefully, although with parades like this this is proving more difficult. The last name is carrying her much further than she is capable of.

She is probably mostly overestimated.

Siwezi kuona mtu makini anaweza kuwa na kitu chochote in common na drama queen lowbrow hoochie mama kaa Mange.

http://www.urbandictionary.com/define.php?term=hoochie+mama
Hoochie Mama740 up, 201 downhttp://www.urbandictionary.com/define.php?term=hoochie+mama#http://www.urbandictionary.com/define.php?term=hoochie+mama#
1. A female who dresses ghetto ho fabulous. Lots of gold, lots of weave-typically Pattie LaBelle style with red, purple, gold, or orange streaks, and long nails with lots of airbrush glitter, and color. This female's goal in life is to use her female attriibutes to obtain a male with lots of money or any money to spend on her. Weaves, rent, & diapers for her baby from another daddy included. 2. A ghetto version of a "Gold Digger".
Friday night (payday} at the club: "Ooo, girl the hoochie mamas are out trollin' tonight!"
 
Sasa ulimaanisha nini kwa kusema ni kawaida yangu kuwa-back losers?

Nakumbushia ulivyokuwa fired up kuhus Gov. Perry. Hahaha. Yani kuna tacky types fulani unazi embrace inashangaza, I guess ni ideology yako disguised as libertarianism.

Hiyo blog ya wadada wasio aibu wala maadili wanaotafuta waume wazungu, Makamba naye kashajiparade kwenye anga hizo za defeatist lowbro hoochie mommas, Vodacom PR rep or no.
 
Kiranga, Mwita na Nyani Ngabu. Nimefuatilia jinsi mnavyolumbana ktk thread hii. Thanks a bunch for making JF entertaining.
In my humble opinion, huyu dada mnaemzungumzia she seems to be a nice lady, na kuhusu kutanua huko kwenye vacations zake anayo haki kama raia mwengine yeyote yule. Ni haki yake kwenda kokote na kutanua atakavyo hata kama akienda Alhambra, CA....tunaoishi CA tunaijua Alhambra......... Ila when it comes to prefessional ethics na corporate responsibility, kitu ambacho Africa hakipo, alitakiwa asijianike excessively namna hiyo kwenye mitandao sababu ina-affect the image and the reputation of the company....sema tu kinachosaidia ni kuwa Vodacom is not a fortune 100 company.
As I pointed out earlier, any PR executive from the fortune 100 company would be violating professional ethics kwa kujianika mitandaoni namna hiyo. I'm not talking about White House, I'm talking about corporate America and the rest of the corporate world.
Nilienda kuomba kazi na nikaipata kule Cisco Corporation na one of the conditions was to deactivate my Facebook account, imagine na mimi ni just a staff na sikuwa managerial level!
Kiranga unachoongea ni kweli kuhusu corporate responsibility and professional code of conducts....lakini ujue Tanzania na Africa hatuna kitu kama hicho kuanzia private sector hadi serikalini. Ni sawasawa na kumwambia waziri wa serikali yetu ajiuzulu kwa kuwa alikutwa na malaya mtaani.....tena na picha zikaanikwa on front pages za local print media......Hatojiuzulu sababu kwake kutanua na malaya ni sawa na vilevile it's not a big deal miongoni mwa wabongo hadi raisi aliemweka madarakani. Lakini nchi za watu hiyo ni kashfa na haina mjadala inabidi aachie ngazi!
Corporate responsibility and professional ethics ni muhimu kwa image na reputation of any organization lakini sio Tanzania na Africa.
Just my thought!
Ooookidokiiiiii..........
 
Sioni baya alilofanya Mwamvita. Na kama Vodacom (mwajiri wake) hana tatizo na jinsi anavyoishi maisha yake kwenye spare time yake sababu ya wengine kutoa mapovu ni nini?

Akija na kudai mnamuonea wivu atakuwa na hoja! Tena hoja yenye nguvu tu.

Halafu Vodacom ni private enterprise. Mshahara wa Mwamy hautokani na fedha za walipa kodi. Angekuwa Regia Mtema ndo kaenda huko na kufanya kufuru hapo ningeelewa. Lakini kumsakama Mwamy si haki hapa.

Kubalini tu kuwa Mwamy is killing it.
Well said!
 
Well, Picha za Mwamvita akiwa akiwa kwenye makamuzi dubai na sehemu mbalimbali nje ya nchi hazijaanza kubandikwa kwenye blog ya Mange leo au jana zimekuwa zikibandikwa kwa muda mrefu na wadau wa blog ya MK wamekuwa wakiongezeka kwa kuangalia idadi ya mabandiko na at the same time wateja wa Vodacom wamekuwa wakiongezeka.

Historia inasema tofauti na mnachotaka tuamini
 
Kiranga, Mwita na Nyani Ngabu. Nimefuatilia jinsi mnavyolumbana ktk thread hii. Thanks a bunch for making JF entertaining.
In my humble opinion, huyu dada mnaemzungumzia she seems to be a nice lady, na kuhusu kutanua huko kwenye vacations zake anayo haki kama raia mwengine yeyote yule. Ni haki yake kwenda kokote na kutanua atakavyo hata kama akienda Alhambra, CA....tunaoishi CA tunaijua Alhambra......... Ila when it comes to prefessional ethics na corporate responsibility, kitu ambacho Africa hakipo, alitakiwa asijianike excessively namna hiyo kwenye mitandao sababu ina-affect the image and the reputation of the company....sema tu kinachosaidia ni kuwa Vodacom is not a fortune 100 company.
As I pointed out earlier, any PR executive from the fortune 100 company would be violating professional ethics kwa kujianika mitandaoni namna hiyo. I'm not talking about White House, I'm talking about corporate America and the rest of the corporate world.
Nilienda kuomba kazi na nikaipata kule Cisco Corporation na one of the conditions was to deactivate my Facebook account, imagine na mimi ni just a staff na sikuwa managerial level!
Kiranga unachoongea ni kweli kuhusu corporate responsibility and professional code of conducts....lakini ujue Tanzania na Africa hatuna kitu kama hicho kuanzia private sector hadi serikalini. Ni sawasawa na kumwambia waziri wa serikali yetu ajiuzulu kwa kuwa alikutwa na malaya mtaani.....tena na picha zikaanikwa on front pages za local print media......Hatojiuzulu sababu kwake kutanua na malaya ni sawa na vilevile it's not a big deal miongoni mwa wabongo hadi raisi aliemweka madarakani. Lakini nchi za watu hiyo ni kashfa na haina mjadala inabidi aachie ngazi!
Corporate responsibility and professional ethics ni muhimu kwa image na reputation of any organization lakini sio Tanzania na Africa.
Just my thought!
Ooookidokiiiiii..........

Swali ni jee, kuna "Fortune 100 Companies" ngapi Tanzania? And besides, what makes you think that US corporate culture would apply to Tanzania?
 
Well, Picha za Mwamvita akiwa akiwa kwenye makamuzi dubai na sehemu mbalimbali nje ya nchi hazijaanza kubandikwa kwenye blog ya Mange leo au jana zimekuwa zikibandikwa kwa muda mrefu na wadau wa blog ya MK wamekuwa wakiongezeka kwa kuangalia idadi ya mabandiko na at the same time wateja wa Vodacom wamekuwa wakiongezeka.

Historia inasema tofauti na mnachotaka tuamini

Tukiendelea kufanya mambo yaleyale, kwa jinsi ile ile, hatuwezi kupata matokeo tofauti.

Moja ya sababu ambazo zinatufanya tusiendelee ni kukosa hii attention to detail, kuona mambo ya corporate responsibility na kufuata professional ethics ni mambo madogo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom