Binti Makamba unatisha

Status
Not open for further replies.

VUVUZELA

JF-Expert Member
Jun 19, 2010
3,103
1,195
Kama mtu wa Public Relations kutoka nchi masikini kama Tanzania, Mwamvita Makamba ameonyesha poor judgement kuji-parade katika namna inayoonyesha disparity ya maisha kati ya walio nacho na wasio nacho Tanzania.

This self exposing tactless and simply tastelessly tacky parade, whether intended at lording it over those who worship consummerism and showism or a genuine lack of judgement from a partying airhead, could only be celebrated by imprudent charlatans, not the genuine articles of Public Relations.

I have never seen, say, a Franklin Mziray parading himself like that, not that Mr. Mziray doesn't know how to party and shop and have a good time. And Mziray is not even the beacon of responsibility, just to show you how embarrassing this woman -she of holding Miss Tanzania contest on the day after a national disaster infamy- is to the profession and her cadre of Tanzanian women.

U-Turn of all places? Just goes to show you how lacking our collective talent pool is.

Oh, wait. What am I talking about? She did not even get where she is because of talent, rather, her last name.

So she naturally carries that out-of-touch-with-reality elitist entitlement. No wonder she is exposing herself like some nouveau-riche kid from the ghetto.

Perhaps she very well is and that's how this can make sense.Most of the oligarchy were empty titles and no money until very recently.

Company's reputation suffers when you have a high profile employee who represents the image of the organization to the public, continuously brandishing his/her photos about her personal vacations, kinky outings etc. online.
Angekuwa anafanya kazi AT&T, Verizon, Sprint or T-Mobile ama most of the Fortune 100 companies basi saa hizi angekuwa fired immediately kwa kujianika kwenye blogs, FB, etc. May be bongo companies nyingi policies zao ziko very lax when it comes to internet use policies
Unless akafanye kazi kwa Kardashian!
 
rmashauri

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
3,011
1,195
Acha ajiachie,hana cha sijui baba kaishiwa,baba yake anakula pension .Hongera makamba you worked hard now your kids ni matawi ya juu

Tafuteni kwanza Ufalme wa Mbinguni na Haki yake, na hayo mengine mtapewa kwa ziada.
 
LEX STEELE

JF-Expert Member
Jul 16, 2011
224
195
Lets face it

ma sista duu wengi Dar wanataka sana kuwa kama huyu

anapopata pesa is none of my business lakini all i know wanawake wengi wana aspire kuwa kama huyu

sababu nadhani ni:

Access na rich and powerful

....
 
Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
58,431
2,000
Company's reputation suffers when you have a high profile employee who represents the image of the organization to the public, continuously brandishing his/her photos about her personal vacations, kinky outings etc. online.
Angekuwa anafanya kazi AT&T, Verizon, Sprint or T-Mobile ama most of the Fortune 100 companies basi saa hizi angekuwa fired immediately kwa kujianika kwenye blogs, FB, etc. May be bongo companies nyingi policies zao ziko very lax when it comes to internet use policies
Unless akafanye kazi kwa Kardashian!

Bahati yake anafanya kazi Tanzania ambako know-who trumps know-how.

Inabidi apigwe msasa kuhusu Professional Ethics.
 
Mwita25

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
3,836
0
Mwamvita hapa analaumiwa kwasababu ya umaarufu wake maskini. Na nyie hapo juu mnaotudanganya kuwa eti angekuwa sijui anafanya kazi wapi ooooh angefukuzwa kazi acheni uongo jamani.
 
Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
58,431
2,000
Mwamvita hapa analaumiwa kwasababu ya umaarufu wake maskini. Na nyie hapo juu mnaotudanganya kuwa eti angekuwa sijui anafanya kazi wapi ooooh angefukuzwa kazi acheni uongo jamani.

She, and yourself, do not understand the entire concept of separating personal and professional interests.

Huyu dada kazi yake kuuza sura kwa niaba ya Vodacom, ni part ya brand ya Vodacom. Sasa kama muwakilishi wa Vodacom, kwa kujiparade kwenye vi-blog, anachanganya maisha yake binafsi kwenye U-Turn na picha ya muwakilishi wa Vodacom.

Kesho akija kutoa misaada huko Majebupande na kujitia "I feel your pain" tutamuona actor tu anatuzuga kuuza image ya corporate responsibility ya Vodacom wakati kiukweli anavyojirusha bei ya chumba kwa siku ni GDP per capita ya familia mbili kijijini.

Kama angekuwa na biashara zake wala tusingem mind, lakini kazi yake ya Public Relations ni kuuza image, na yeye kwa kujiparade hivi anaharibu hiyo image anayoiuza.
 
Sidhani kama alimwambia Mange arushe hizo picha kwenye blog kwa jinsi ninavyomuona Mwamvita. Lakini hata kama itakuwa hivyo yeye atakuwa siyo mtu wa kwanza kuwa na picha zake mitandaoni. Obama mara nyingi amekuwa akionekana ame-pose na Michelle tena wote wakiwa wametupia kitu cha boxer na wala sijasikia lawama kama hizi. Aidha unam-overestimate Mwamvita au unatafsiri tofauti ya kutofautisha maisha ya mtu na kazi yake.
 
Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
58,431
2,000
Sidhani kama alimwambia Mange arushe hizo picha kwenye blog kwa jinsi ninavyomuona Mwamvita.

Andika unachojua, sio unachodhani. Kama kudhani unaruhusiwa kudhani Mwamvita ni Mother Theresa. Unajua au hujui, that is the questioni?

Kama habari ni kudhani, mimi naweza kusema "sidhani kama Mange anaweza kuweka picha hizi za Mwamvita bila ruhusa ya Mwamvita". This makes sense to me more than your angle.

Isitoshe, Mwamvita kama hataki picha hizi ziwe mtandaoni ni kiasi cha kumpigia simu tu mwenye website zitatoka. Kwa kutofanya hivyo anatufanya tuamini kwamba anataka ziwepo mtandaoni, especially kwa sababu aliyeziweka mtandaoni/ mwenye blog amepiga naye picha.

Lakini hata kama itakuwa hivyo yeye atakuwa siyo mtu wa kwanza kuwa na picha zake mitandaoni.

Two wrongs do not make a right. Watu wameanza kuua toka time immemorial, hili halihalalishi wewe kuua leo na kusema "mie si wa kwanza". Hii si defence, hii ni admission ya kufanya kosa.

Obama mara nyingi amekuwa akionekana ame-pose na Michelle tena wote wakiwa wametupia kitu cha boxer na wala sijasikia lawama kama hizi.

Kwanza Obama si yardstick ya ethics na intellect. Obama katumia madawa ya kulevya. Mwamvita akitumia madawa ya kulevya leo utasema ni sawa kwa sababu Obama katumia?

Obama anatoka katika nchi tofauti, yenye uchumi tofauti, utamaduni tofauti, na ana kazi tofauti sana na huyu dada. Hata kama ungetuonyesha Spokesperson wa Verizon anatanua hivyo Dubai, bado huja address point yangu ya huyu dada ku betray hipocrisy ya mfanyakazi wa kampuni ya simu nchi masikini kujishaua kianasa na kuruhusu picha zake ziwe mtandaoni.

Wateja wa Vodacom tunaweza kuanza kuuliza, hivi kumbe zile ada za juu za service ya simu ndivyo zinavyotumika hivi? Nchi zenye watu wanaojua corporate responsibility watu wanauliza maswali kama hayo.

Kuna mtu alikwenda kuchagua system ya simu kufunga ofisini kwake. Kufika kwenye mkutano na kampuni ya simu akaandaliwa bonge la fete, misosi kibaoooo, miiingi. Akala kidogo tu, kukaa mezani akaonyeshwa systems za simu na bei zake. Akasema ngoja nichukue literature nitawataarifu.

Kurudi ofisini kwake akaniambia "I am not going to go with those guys, they are extravagant and probably overpriced, there is no free lunch, we will end up paying for all that extravagant fete".

There is no free lunch, hizi anasa zote hizi zinatoka katika bili za simu za wateja wa Vodacom. Ndivyo tunavyotaka hela za wavuja jasho wa nchi masikini zitumiwe hivi?
Aidha unam-overestimate Mwamvita au unatafsiri tofauti ya kutofautisha maisha ya mtu na kazi yake.

Siwezi kum-overestimate mtu aliyeshindwa kujua ku hold off Miss Tanzania on the day of a national disaster, mtu ambaye kazi yake ndogo tu ya kuuza sura anataka kuiharibu kwa kuchanganya maisha binafsi na brand ya Vodacom.

Tafsiri yangu ya kutofautisha maisha ya mtu na kazi ya Public Relations inatokana na world established ethics za PR.
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
89,981
2,000
Sioni baya alilofanya Mwamvita. Na kama Vodacom (mwajiri wake) hana tatizo na jinsi anavyoishi maisha yake kwenye spare time yake sababu ya wengine kutoa mapovu ni nini?

Akija na kudai mnamuonea wivu atakuwa na hoja! Tena hoja yenye nguvu tu.

Halafu Vodacom ni private enterprise. Mshahara wa Mwamy hautokani na fedha za walipa kodi. Angekuwa Regia Mtema ndo kaenda huko na kufanya kufuru hapo ningeelewa. Lakini kumsakama Mwamy si haki hapa.

Kubalini tu kuwa Mwamy is killing it.
 
SOBY

JF-Expert Member
Sep 19, 2011
1,268
0
Kwani ametumia fedha za serikali?.....
Sasa kama mtu huna aspirations za kuishi maisha hayo, unakuwa unaharibu.
Kaeni pembeni muangalie watu wakila BATA.
Voda, angalau ni kampuni inayomgusa kila aina ya Mtanzania, kama hatutaki...... Wote tuamie Airtel.
 
Sikonge

JF-Expert Member
Jan 19, 2008
11,534
2,000
Mie nakubali kwa saana tu. Hata wewe Mami inabidi tu ukubali, maana hebu angalia African Bambaata la Nguvu huko nyuma.

attachment.php

Mwam.jpg
Sioni baya alilofanya Mwamvita. Na kama Vodacom (mwajiri wake) hana tatizo na jinsi anavyoishi maisha yake kwenye spare time yake sababu ya wengine kutoa mapovu ni nini?

Kubalini tu kuwa Mwamy is killing it.
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
89,981
2,000
Kwani ametumia fedha za serikali?.....
Sasa kama mtu huna aspirations za kuishi maisha hayo, unakuwa unaharibu.
Kaeni pembeni muangalie watu wakila BATA.
Voda, angalau ni kampuni inayomgusa kila aina ya Mtanzania, kama hatutaki...... Wote tuamie Airtel.

Sasa si ndo hapo! Yaani watu wanalaani wenzao wakila bata wakati wanatumia hela zao wenyewe. Mdada wa watu anafanya kazi kwenye kampuni binafsi. Wenye kampuni inavyoelekea hawana tatizo na yeye jinsi aishivyo maisha yake nje ya kazi yake.

Lakini bado tu kuna waja hawataki aishi anavyopenda yeye. Kaazi kweli kweli. Maisha yenyewe mafupi haya. Shooot.
 
Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
58,431
2,000
Sioni baya alilofanya Mwamvita. Na kama Vodacom (mwajiri wake) hana tatizo na jinsi anavyoishi maisha yake kwenye spare time yake sababu ya wengine kutoa mapovu ni nini?

Akija na kudai mnamuonea wivu atakuwa na hoja! Tena hoja yenye nguvu tu.

Halafu Vodacom ni private enterprise. Mshahara wa Mwamy hautokani na fedha za walipa kodi. Angekuwa Regia Mtema ndo kaenda huko na kufanya kufuru hapo ningeelewa. Lakini kumsakama Mwamy si haki hapa.

Kubalini tu kuwa Mwamy is killing it.

Vodacom wanawajibika kwa wateja wao sisi, na wateja wao hatufurahii kuona ada zetu zinatapanywa hivi, au mtu ambaye ni sura ya Vodacom anatumika kuonyesha kutapanya fedha hivi, hususan kwa sababu nchi yetu masikini, sisi masikini.

Anatupa icha kwamba zile ada za juu kwa huduma ya simu si za lazima ila zinatumika ku sustain hizi extravagant lifestyles tu.

Ukiangalia sana utaona hamna kitu zaidi ya ulimbukeni tu. Ndipo waswahili wanasema "Maskini akipata, ****** hulia mbwata"

Sasa katika hii age ya internet, hizi picha za blog ndizo sauti za ma.ta.ko kulia mbwata. Kuna wabongo wanatanua ma Davos, Ipanema mpaka Monte Carlo, lakini hawaoni kitu cha ajabu, utakuta picha kwenye album nyumbani. Huku kuweka picha kwenye mitandao kunafaa watoto wa age na stage fulani, mtu wa PR kwa kampuni kubwa kama Vodacom anajishusha hadhi yeye na kampuni yake.
 
Sikonge

JF-Expert Member
Jan 19, 2008
11,534
2,000
Mie sijaona bata wala cha bibi yake Bata. Mambo yote nimeona huko Nyuma tu kwenye Kipengule, Duhhh!!!!

Maana katika picha zote, ni hiyo tu imeniacha Hoi. Mengine hayo ni ya kawaida sana sana dunia hii. Sema tu tofauti yake na hapo ni kuwa vitu vingi vimekusanywa sehemu moja. Ina maana kuwa unaweza kuwa hapo na ukashida siku nzima huku ukifanya kila kitu sehemu hiyo kama Shopping, Swiming, Sports na kunyenyua vyuma, Massage, Spa nk nk nk.

Lile ni jengo la Wavivu wasiotaka kutembea. Sasa kwa hilo, mie wala silijali kabisa. Mambo ni KUPENGULE Baangu.
Mi nimekubali bana. Wamuache mdada wa watu ale bata. Watu wanamnanga utadhani kula bata imekuwa dhambi au kosa la jinai. Khaaaa.
 
Mwita25

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
3,836
0
Huyu Kiranga huwa anachangia thread zinazowahusu Mange na Mwamvita tu na mara zote amekuwa mtu wa kuwaponda tu. Sasa anakuja na argument kuwa eti Mwamvita hatakiwai kurusha picha zake kwenye blog eti kwakuwa anafanya kazi VODACOM. Sababu alizotoa hata binti yangu wa chekechea haziwezi kumwingia akilini! Hivi kuna sheria gani inayowa-limit watumishi wa makampuni juu ya maisha yao binafsi. We should rather avoid our personal vendetta and learn to argue with substantive facts na siyo kuleta uadui usio na kichwa wala miguu.
 
Mwita25

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
3,836
0
Vodacom wanawajibika kwa wateja wao sisi, na wateja wao hatufurahii kuona ada zetu zinatapanywa hivi, au mtu ambaye ni sura ya Vodacom anatumika kuonyesha kutapanya fedha hivi, hususan kwa sababu nchi yetu masikini, sisi masikini.

Anatupa icha kwamba zile ada za juu kwa huduma ya simu si za lazima ila zinatumika ku sustain hizi extravagant lifestyles tu.

Ukiangalia sana utaona hamna kitu zaidi ya ulimbukeni tu. Ndipo waswahili wanasema "Maskini akipata, ****** hulia mbwata"

Sasa katika hii age ya internet, hizi picha za blog ndizo sauti za ma.ta.ko kulia mbwata. Kuna wabongo wanatanua ma Davos, Ipanema mpaka Monte Carlo, lakini hawaoni kitu cha ajabu, utakuta picha kwenye album nyumbani. Huku kuweka picha kwenye mitandao kunafaa watoto wa age na stage fulani, mtu wa PR kwa kampuni kubwa kama Vodacom anajishusha hadhi yeye na kampuni yake.

Hivi we jamaa ndiye mteja pekee wa VODACOM hapa Tanzania? Au huwa unatumia vocha za shs milioni moja kwa siku? Kwanza una uhakika gani kama Mwamvita ametumia hela ya kampuni kwenda kulia bata? Arguments zako ni za kitoto sana.
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
89,981
2,000
Vodacom wanawajibika kwa wateja wao sisi, na wateja wao hatufurahii kuona ada zetu zinatapanywa hivi, au mtu ambaye ni sura ya Vodacom anatumika kuonyesha kutapanya fedha hivi, hususan kwa sababu nchi yetu masikini, sisi masikini.

Kama hamfurahii hamieni Airtell, Tigo, Zantel, na kampuni zinginezo ambako wafanyakazi wake hawali bata. Kwani Vodacom wako wao tu katika biashara ya simu?

Ila ingependeza zaidi kama mngewatolea mapovu hao wawakilishi wenu bungeni ambao compensation yao inatoka moja kwa moja kwenye jasho lenu.

Anatupa icha kwamba zile ada za juu kwa huduma ya simu si za lazima ila zinatumika ku sustain hizi extravagant lifestyles tu.

Well hamjalazimishwa kutumia Vodacom. Lakini mnalazimishwa kukatwa kodi zenu ambazo zinaenda ku-sustain maisha ya hali ya juu ya wawakilishi wenu na watumishi wengine wa umma. Chagua mwenyewe hapo lipi ni la kulishikia bango zaidi ya lenzake.

Ukiangalia sana utaona hamna kitu zaidi ya ulimbukeni tu. Ndipo waswahili wanasema "Maskini akipata, ****** hulia mbwata"

Iwe ulimbukeni au la hilo ni suala la kimtazamo zaidi. Wewe unaona kalimbuka wakati yeye anaona anakula bata. Mimi nasema kulimbuka si jinai.

Sasa katika hii age ya internet, hizi picha za blog ndizo sauti za ****** kulia mbwata. Kuna wabongo wanatanua ma Davos, Ipanema mpaka Monte Carlo, lakini hawaoni kitu cha ajabu, utakuta picha kwenye album nyumbani. Huku kuweka picha kwenye mitandao kunafaa watoto wa age na stage fulani, mtu wa PR kwa kampuni kubwa kama Vodacom anajishusha hadhi yeye na kampuni yake.

Vipi zile picha zinazowekwa kwenye mablogu mengine ambazo zinamwonyesha akiwakilisha Vodacom katika kutoa kile walichonacho katika jamii? Na zenyewe zinaishushia hadhi Vodacom? Au ndo yaleyale mambo ya the bad always outweighs the good? Manake kuna mengi mazuri tu ambayo Mwamvita na Vodacom wanayafanya....au hujawahi kuyaona?
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
89,981
2,000
Mie sijaona bata wala cha bibi yake Bata. Mambo yote nimeona huko Nyuma tu kwenye Kipengule, Duhhh!!!!

Ahahahahahaaa mami umepinda wewe! Mdada wa watu anang'ara bana khaaaaa.....hivi huyu na Nsia vipi? Ukiambiwa chagulaga mmoja....utachagua yupi?
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom