Binti huyu!!!!

kwamtoro

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
4,922
3,234
Ilikuwa ni takribani miezi sita nimeamia maeneo ya mbezi beach ambapo nilikuwa nikiishi kipindi cha miaka ya nyumba. Katika eneo ambalo nilikuwa nikiishi kulikuwa na binti moja hataree. Nilifanya kila njia kuakikisha kwamba napata attention yake. Nakupa mikasa ambayo niliifanya kuakikisha nampata huyu binti.

Mkasa wa kwanza, kuna siku nilivaa nadhifu sana nilikuwa na mtoko wangu. Niliamua kukodi bodaboda inipeleke katika mtoko wangu. Wakati napita nikamuona binti amekaa sehemu fulani, kwa bahati mbaya akawa ajaniona. Tulipo fika mbele kidogo nikamdanganya dereva wa bodaboda nimesahau kitu fulani itatubidi turudi nyumbani. Wakati tunarudi bintu aliniona na nilijisikia vizuri sana lakini ilinilazimu nilipie bodaboda mara mbili.

Mkasa wa pili, Siku moja nilipanda basi kuelekea bagamoyo. Wakati nipo mwenge kilibaki kiti kimoja cha abiria, ambacho ni kiti nilickokuwa nimekaa mimi. Bahati nzuri binti huyu huyu alikuwa na safari ya kuelekea bagamoyo. Tulikaa naye siti moja, nilijaribu kumsemesha binti alikuwa yuko busy na heardphone yake akisikiliza mziki. Kwa bahati nzuri alikuwa amenunua maji ya kunywa ya chupa. Katikati ya safari alikunywa maji akawa amebakiza kiasi kidogo. Akaamua kutupa chupa. Kabla ajaitupa ile chupa nilimamwambia tafadhali usiitupe chupa hiyo, naiomba. Nikanywa yale maji yaliyo kuwa yamebaki. Cha kushangaza alifikiri ningefuta kwa juu ya mfuniko wa chupa sababu aliitumia, mimi nikanywa hivyo hivyo. Alinipiga jicho, mimi nikatabasamu tu.

Mkasa wa tatu, Binti huyu huyu, siku moja nikakutana naye Club. Loohh!! Ubongo wangu ukawa busy sana kusumbua akili yangu. Leo itakuwaje sababu kiukweli moyo wangu umetokea kumpenda sana. Nikampa offer ya kinywaji binti akaniambia Sorry nina pesa ya kufanya matumizi. Bahati nzuri mid night tulitoka wote kwa club, tukapata bus ambalo lilikuwa jirani na club. Yeye alikaa siti ya katikati mimi nilikaa siti ya nyuma. Katikati ya safari kulizuka ugomvi mkubwa kati ya binti na konda, binti akidai arudishiwe chenji ambapo kimsingi ni kweli alitoa pesa kubwa kwa mujibu wa shuhuda, konda akibisha ajapewa pesa. Derava naye akaingilia kati na maneno ya kasha. Kutokana na mzozo huo dereva alisimamisha bus. Nilicho fanya, nilienda kumvamia dereva nilimpa makonde ya kufa mtu, konda akaingilia naye nilimpa kichapo. Nikasimamisha bodaboda nikapanda mshikaki na binti, binti tukamshusha kwao mimi nikaelekea home. Kesho yake niliamka mkono unaniuma sana, na takribani wiki nzima mkono uliniuma kwani ulitenguka.

Huyu binti kwa sasa ni Mama kijacho, miezi michache tutafunga ndoa.

Je wewe, which silliest thing you have ever done to get a Guys/Girls attention????
 
Nadhani mwishoni umeshahau kumalizia maneno "It's just a story"...
 
Wanawake huvutiwa sana na watu jasiri; kichapo ulichowapa dereva na konda wake ndio kimekupa mke!!!!!!
 
Mmh vp na Yule dada uliyekula nae yamin wataka kumsaliti tena?????
 
Mimi nilimpora begi lake la shule yeye akiwa form two mimi form 4, alipofika nyumbani tu. Leo hii tuna watoto 2
 
Yaani umeniua mbavu kweli!!!

Back
Top Bottom