MLALUKO JR
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 962
- 305
- Thread starter
- #21
TumsaidiajeDaaaaaah c sahihi
TumsaidiajeDaaaaaah c sahihi
N ktk kupta ushauri wa ma great thinkersrafiki yako ndiyo kakutuma kutafuta msimamo wa wana jf kuhusiana na mpenzi wa jamaa yako?
Ndio maana cjataja sifa wala wajihi wao,Muwatambue!Mpenzi wa jamaa au mpenzi wako, km siyo wako huo ni ukuda kutangaza habari za watu humu ndani. Nenda kwenye habari zako ili ushauriwe.
Sawa mkuuJamaa Ako = Wewe Mwenyewe
USHAURI: Utaoa "Mamlaka Ya Utabiri Wa Hali Ya Hewa" kabla haijanyesha keshatangaza itanyesha.
Raha ni kwamba pia kabla hajakusaliti atatangaza mapema so utajua mapema na kujiandaa kisaikolojia kuwa utasalitiwa mapema mwakani. Hupunguza maumivu.
Hilo ni chaka, Toka huko
Ndo kutangaza au ndo kimuhemuheHata yeye ana ulimi
Mmmmmh!Sio sabbu na kwann umenifikiria mmSasa ukisema ni wewe mwenyewe kwani ndio utakosa wachangiaji wa thread yako..?
Ushauri wako utamfkia tyuMwambie "jamaa ako" ajiunge JF aje tumshauri wenyewe
KiingerezaMkuu hiki ni kiingeleza???? Lugha ya wenzetu
Nipo kama Wakili ,ameshanmbia ukweli jamaa yangu Huyo.Labda ameshaahidiwa hivyo wakati wana "kwinchi kwinchi"
So ukweli wanao wahusika.
Labda aje rafiki yako kuomba ushauri.....
Sawa mkuu,ila si kwa kutangaza bforesasa kama hakutaka kumuoa alimuahidi ili iweje? Penye ukweli uwongo hujitenga
For what mkuuAm so wonders
Hata mm nmejiulizaMkuu hiki ni kiingeleza???? Lugha ya wenzetu
Hapana mkuu sipo hivo asee!umenielewa vibaya!Wewe nawe hueleweki, unatabia ya wivu usio na maana na unadharau sana.
1. Unasema hao wachumba walikubaliana kuishi pamoja kama mke na mume. Halafu unasema mume hajashirikishwa kivipi? Umejuaje? Walikubalianaje kama hawakujafiliana na kukubaliana?
2. Wenzako wanatambulishana kwa wazazi wao, wewe unadunisha hatua hiyo muhimu kwa kuiita "kudokezana". Sijui unamaana gani! Ndugu, hiyo ni hatua muhimu sana kuelekea kwenye ndoa na ni heshima mkubwa kwa wachumba, wazazi wao na jamii kiujumla wake. Acha wivu!
3. Binti anawajulisha ndugu zake wa karibu ili waanze kujiandaa na waweze kumfahamu huyo mtu wake na kumpa heshima anayostahili kijamii. Wewe unasema "bila aibu anawatangazia watu"! We vipi? Hao ni ndugu wa karibu, wadau muhimu. Aibu ya nini hapo? Inaonekana wewe unapenda sana mambo ya kufanyika gizani, au siyo?
4. Eti tambo na "mshawasha wa kuolewa". Mbona unaonekana kuumia sana? Wacha kumbeza binti wa watu, mchumba wa mtu! Kama na wewe unampenda basi pole sana jaribu mwingine maana huyo ameshawahiwa.
Mwisho, kuwa makini sana na uchaguzi wa maneno. Wafuatiliaji wengi wanaweza kuungana na mimi kuwa maneno yako mengi yamejaa wivu, dharau na chuki. Inaonekana wazi kuwa ilikuwa unammezea mate huyo binti! Nimeona nikudunge tu sindano upone. Pole lakini!
Hapo umeongea sawaJambo rahisi sana hili kwa wazoefu, ukweli ni kuwa huyo binti kaahidiwa ndoa ila tatizo ni huyo jamaa asiyeelewa kuwa mwanamke hataniwi kuhusu kuolewa!!!
SijakuelewaSio lazima awe ameahidiwa na huyo jamaa yako mkuu,inawezekana yupo mwingine aliyeongea nae na ana uhakika na ndoa ndio maana jamaa yako hajui kwasababu sio muhusika.
Hivo ndivyo ninavyojua MaalimKwa Mujibu wa Hadithi ya Bwana Mtume Muhammad (S.A.W) Rehema na Amani ziwe Juu yake Amesema:-
Ficheni posa zenu na dhihirisheni harusi zenu.
Mwisho wa kunukuuu.
Maana yake usitangaze mambo ya uchumba wa posa kwa wasiohusika na harusi ndio mutangaze
May be,toa ushauri tuh.Unafikiri JF ushauri wetu huyo binti utamfikiaje?
Mwanamke amemdown shkajiFor what mkuu