Binti awekwa ogani sita mwilini... And life goes on! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Binti awekwa ogani sita mwilini... And life goes on!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mphamvu, Feb 3, 2012.

 1. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 937
  Trophy Points: 280
  Hollis, Maine mwenye umri wa miaka 9, amerudi nyumbani kutoka katika hospitali ya Boston akiwa na matarajio mapya baada ya kuwekewa tumbo, ini, wengu, utumbo mdogo, kongosho, na sehemu ya umio kwa upasuaji.
  Upasuaji huo unakuwa wa kwanza kuhusisha upandikizaji wa viungo vingi namna hiyo.
  Zaidi:Maine girl bouncing back after 6-organ transplant - Yahoo! News
   
 2. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #2
  Feb 3, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,740
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Duh! Atasurvive kweli?
   
 3. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 937
  Trophy Points: 280
  Anaweza akatoboa, si unajua tena mambo ya Uzunguni?
  Unamkumbuka yule dogo aliyepasuka kichwa, akawa amewekewa helmet? Nasikia yu hai bado...
   
Loading...