Binti atolewa fungu la kumi kwa mchungaji

kipira

Senior Member
Aug 5, 2009
142
56
Katika vichwa vya habari ktk magazeti leo, binti mmoja ametolewa na familia yake kama fungu la kumi kwa mchungaji. Source: gazeti la msemakweli
 
Katika vichwa vya habari ktk magazeti leo, binti mmoja ametolewa na familia yake kama fungu la kumi kwa mchungaji. Source: gazeti la msemakweli

Hili jukwaa la siasa. Peleka hii habari kwenye mseto mkuu!
 
Katika vichwa vya habari ktk magazeti leo, binti mmoja ametolewa na familia yake kama fungu la kumi kwa mchungaji. Source: gazeti la msemakweli

Unless the said cleric is the one who is in charge of Iringa urban representation, this story has nothing to do with political affairs.
 
jukwaa la siasa... Kweli
?!!!? Au.. Embu post kwenye jukwaa la umbea, utapata wenyewe huko.. Usichanganye inshu.. Uwe makini yakhe..
 
Katika vichwa vya habari ktk magazeti leo, binti mmoja ametolewa na familia yake kama fungu la kumi kwa mchungaji. Source: gazeti la msemakweli

Jamani sio lazima kupost thread JF ndio upate umaarufu,sasa hapa umeleta nini mkuu? Kama ingekuwa ni ishu za vichwa vya habari hapa JF si pangejaa thread mpaka server i-collapse? Tuwe makini na vitu tunavyoleta hapa JF ama sivyo imani kwa hii forum utapotezwa na watu wachache...naomba na mods,wakati mwingine kama thead haijajitosheleza basi ipigwe kapuni kabisa kabla ya kufika kwetu....
 
Mods naona kuna haja ya kuanzisha jukwaa la dini hapa, naona kuna majukwaa mengi lakini la dini limekosekana hii inasababisha watu wanatuchanganyia habari
 
inawezekana, lakini ni lazima familia ipeleke pesa pale kanisani ili wakamkomboe pale, kwa wakristo wengi wanafanya hizo kwa ajili ya uzao wao wakwanza.
 
Back
Top Bottom