Binti amlalamikia mpenzi wake kwa kumvalisha pete ya shilingi elfu 23,000

Ila kwa upande mwingine Dizain kama nimemuelewa Demu, uyo jamaa angemueleza demu before ya kumvisha pete kuwa pete yke ananunua hiyo kwakua saiv hali sio nzurii ila badae atambadilishia, Me nakumbuka nlimuahidi demu wngu pete ya 1.2 lkn mpk siku ya engagement inakaribia nlikuwa na hali mbaya sanaa...

Nikamueleza akasema kuwa haina shida atavaa ata ya jero lkn alanambia angeumia kama nisingemueleza chochote then. nkaenda tu kununua na kuileta
Pete kitu gani mkuu.
Kuna maisha baada ya pete na ndoa.
Kiufupi huyo demu hajui maisha na ukioa demu wa aina hiyo utateseka maisha yako yote.
Huyo demu atakuja kuwa na akili akishamaliza chuo akaja kupigika mtaani kwa miaka 5 ndipo akili itamkaa sawa.
 
Kwa kiufupi huyo demu sio wife material.
Ni demu wa kuishi maisha ya kuiga.
Tena jamaa ashukuru amemgundua mapema,hilo zigo halibebeki.
 
Binafsi mbona nataka mixture ya diamonds na tanzanite?

And... yes. Me nimeona ni dharau. Ingemgharimu nini jamaa kucommunicate? Mahusiano mengi hufa kwasababu ya kukosekana mawasiliano. Napenda sana mawasiliano. Angemweleza tu. Na kulikua na haja gani ya kumvisha mabati kama ingine ilikua yaja?

Kwa upande mwingine hapo jamaa hana mke. Kibinti hakina akili. Kinapenda maisha ambayo hakina uhalisia nayo. Anadai kufanyiwa graduation part tena kwa demand order as if jamaa ni babake? Tena ananung'unika kabisa? Kmmk. Ndo ana zile mambo za kuleta na mashost ktk outings ambazo wanahitaji privacy na mpenziwe? Bogus kweli. Tumesoma mjini hapo ila huo ujinga hatujafanya. Hakina akili za maisha hiko kitakusumbua. Kama unamuacha muache kwa hizi tabia zake za kishamba akiamini anastahili kila treatment kutoka kwako as if ni babake. Kinaona kinemaliza dunia yote. Piga spana.
Hahaha naona umeamua kumsagia kunguni kbsa mwanamke mwenzio,sisi Kazi yetu ni kupiga spana tu ,ushauri huu mtoa mada auchukue kama ulivyo

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Hahaha naona umeamua kumsagia kunguni kbsa mwanamke mwenzio,sisi Kazi yetu ni kupiga spana tu ,ushauri huu mtoa mada auchukue kama ulivyo

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Ni mpumbavu sana. Anaishi maisha ya insta. Sasa wa kazi gani. Ujinga mtupu. Yaan kiufupi ni binti anataka ampelekeshe jamaa mbali na kwamba jamaa alikosea kutokumueeka wazi binti.

Pia unashauriwa. Kuwa makini sana na aina ya marafiki yuko nao mkeo. Yaan hao ndo wanadetermine ndoa yake. Me mwenyewe wifi kichaa, ukikaa vibaya nakuwasha vibao
 
Mwanaume mzima unashindwa kuchonga hata Plastik la mapapai!! mwambie hiyo ni million saba!! haipatikani Bongo! si unampenda kuwa Muongo! muongo! tu kwa nini uutese moyo wako kwa kwenda kwingine!! mpige sound tu! ipakae hata rangi ya mafuta tu!

hawakawiagi kuchoka hawa!! siku akigutuka!! kuwa wewe ni muongo amesha tumika ngozi mkunjo, ana watoto saba! hapo ndo achague aende akaolewe kwingine wanao akuachie hapo! au avumilie!

usimuache huyo ana kismart si unaona mambo yako yanaenda? nenda kula nae sambamba tu! taelewa baadae sana! ila mpige sound tu! me gani huna ngenga bana! huyo anajazwa maneno na wasio mtakia mema!
 
Waziri mkuu wa UWABATA ahaaaaaaaaaaa nimeipenda hii

Back
Top Bottom