barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,866
Yule binti mdogo wa Kitanzania aliyepata bahati ya kuhutubia mkutano wa UN,amerudi nchini na kupokelewa na familia yake na majirani zake na wadau wachache
Hii ni tofauti na ambapo watu wengi ambao wanakuwa wameiwakilisha nchi vyema kimataifa kupokelewa kwa bashahsah na matarumbeta.Kwa muono wangu binti huyu angetiwa moyo kwa mapokezi motomoto ili kuwapa hamasa watoto wengine na yeye piaView attachment 343508