Binti aliyebebeshwa dawa za kulevya na mchumba wake wakati wa safari ya kwenda kutambulishwa ukweni

Huyu binti hakufungwa aliendesha kesi akiwa mahabusu elewa moralstory mkuu
Unless kama huwa sielewi Kiswahili vizuri; mahabusu huwa anaweza kuwa mnyapara? Still, why kuendesha kesi ukiwa mahabusu kwa kipindi kirefu hivyo kama huna hatia?
 
Unless kama huwa sielewi Kiswahili vizuri; mahabusu huwa anaweza kuwa mnyapara? Still, why kuendesha kesi ukiwa mahabusu kwa kipindi kirefu hivyo kama huna hatia?
Anasema alitolewa mahabusu akapelekwa gerezani, na anasema hilo gereza kwa upande wa wanawake wale mahabusu na wafungwa wanakaa pamoja, wanaume ndo wanatenganisha kati mahabusu na wafungwa.
Halafu kuhusu unyampara, anasema kuna manyampara mbalimbali, na kuna nyampara mkuu.
Yeye alikuwa nyampara wa usafi.
 
Huyu mpopo twende mbele turudi nyuma ni mtu Alie jipanga na kujizatiti ndio maana amekubali kirahisi kuwa huyo mtu wanafahamiana nae.

Kwa Nini amekubari kirahisi hii inamaanisha huyu jamaa kisheria yupo vizuri na anajua jinsi gani atajichomoa kwenye hii kesi hiyo ya kusema kafungwa maisha ni uongo huyo Dada hizo habari alizitolea wapi ....? Reliable source of information ya kumprove kuwa the man is sentenced to his life wakati yupo sello .

Na Kama walishikwa wote inamaana hata mahakamani walisimama wote lkn katika story hajagusia hicho kitu.

Na pia yeye anadai hakupewa hukumu aliishia sello tu muda wote inamaana Sasa hukumu ya jamaa ilifanyikaje fanyikaje ...?


Kifupi huyo Dada ni mhusika mzuri tu wa maswala ya ngada ndio maana katika safari yake kumuaga mtu mmoja tu ni kawaida kwake .....Leo hii mtu yoyote mwenye akili timamu huwezi ukamfanyia Mambo haya makubwa mawili bila kushirikisha ndugu na marafiki.

1: kusafirishwa nchi za nje bila marafiki na ndugu zako kujua ....Hilo kwa binadamu wa kawaida mwenye akili timamu hawezi fanya .

2: kuenda kutambulishwa ukweni ...yaani hapa labda sio kwa Hawa Dada zetu yaani kwenda kutambulishwa ukweni Tena nchi za nje wasijue hata marafiki na ndugu hii kwa wanawake wa kitanzania haipo .....yaani Hawa Hawa wanawake ambao hata wakinunua chupi wanapiga picha kutupostia tuone alafu jambo Kama Hilo walifiche hapana ...we Kama mobeto tu kupigwa dudu na Rick alitangaza dunia nzima vyombo vya habari.



Hapa huyu Dada ni mhusika mzuri tu ndio maana aliamua Hadi kutelekeza kitabu asitake kutafuta huruma kwa kusingizia mapenzi .....na huyo jamaa kwa jinsi alivyo onekana katika hii story ni jamaa mmoja anae tumia akili nyingi Sana kuliko nguvu na uoga ....ndio maana alikubali kirahisi tu kuwa anafahamiana na huyo jamaa
 
Ni kweli wanawake huwa ni victims huingiliwa kwa gear ya mapenzi, au wengine huwekewa bila wao kujua Matokeo yake huwa ni kudakwa hasa wale walinzi wakibadilishwa. So vipindi ka hivo vinaelimisha sema watu hawavipendi wanapenda miziki
Kinaonyeshwa Lin jmni
 
Back
Top Bottom