Binti akisema amekufananisha na kaka yake!

''lakini usije ukawa married tukakushauri ujinga'' hapo nilimaanisha kaka usije ukawa umeoa halafu tukakushauri ukamate nyumba ndogo mzee!
 
Na mwanamme jee akikufananisha na rafikiye wa utotoni ana maanisha nini? Au wanawake tu ndo hawaaminiki?

Manake juzi kati hapo kuna mtu mmoja alikuja kibaruani kwangu akasema kwa uhakika kuwa ananijua keshawahi kuniona sehemu na ananikumbuka kwa sababu nimefanana na rafikiye wa utotoni. (Mimi sidhani kaa nimewahi kumuona)

Sasa hapo mkuu kwa mtazamo wako naona ungejua ndo anatangaza nia!

Tusipeleke mawazo kwenye masuala hayo saa zote, kuna uwezekano mkubwa kakufananisha kweli ila mwanzo aliona tabu tu kukwambia
 
Unajua tunaweza kuwa tunashauri watu bila kujua ni single au married then tukajikuta tunaharibu ndoa za watu.....Bora tuulize anataka kuoa au kuchakachua tu
yaani kakusudia kuuoa,,,,,wajidai tu!!!!! hilo ni laukweli haya tuambie sasa umeoa au hukuoa??????mana nyieeee.....hee
 
subhana llah,,,,,wallah ndugu yangu umeniziba hata mdomo siwezi tena kukujibu,,,labda ulikuwa wacheka kama kaka ake ndo akakufananisha jamani mbona watufanyia hivii tanmo vibaya hivyoo,,,

Nilham sijakusudia kukufanyia hivyo dada yangu (nakufananisha na dada yangu). Ila mimi ndiyo nimefanyiwa hivyo tena na M-female mwenzako..
Sasa kama ni kucheka tu kama kaka yake ndiyo ashindwe kuniambia kuwa nacheka kama kaka yake ili yaishe, anakazania kusema kuwa hajui kwa nini kanifananisha?
 
''lakini usije ukawa married tukakushauri ujinga'' hapo nilimaanisha kaka usije ukawa umeoa halafu tukakushauri ukamate nyumba ndogo mzee!

Nashukuru kwa ufafanuzi kaka, nitajitahidi kuuzingatia ushauri wako...
 
Hii imenikumbusha rafiki yangu mmoja hivi...huyu jamaa bwana alikuwa anafurahisha sana. Yeye eti hata kusalimiwa na msichana tu tayari anaanza kufikiria kuwa huyo msichana anamtaka.

Halafu kuna binti ambaye tunafanya naye kazi. Huyu binti yeye anadhani kila mwanaume anamtaka. Ukijitusu tu kuanzisha small talk kwake basi mwenzio ataenda kuhadithia kuwa unamtaka.

Kazi kweli kweli.
 
Unaweza kumfananisha mtu na mtu wa familia yako na ukashindwa kujua ni kitu gani hasa kama hawafanana kwa sura.

Gestures and facial expressions pamoja na vitu kama flow ya speech inakuwa tabu kui pin point kwa ghafla japo unajua kuna kitu kinafanana
 
Na mwanamme jee akikufananisha na rafikiye wa utotoni ana maanisha nini? Au wanawake tu ndo hawaaminiki?

Manake juzi kati hapo kuna mtu mmoja alikuja kibaruani kwangu akasema kwa uhakika kuwa ananijua keshawahi kuniona sehemu na ananikumbuka kwa sababu nimefanana na rafikiye wa utotoni. (Mimi sidhani kaa nimewahi kumuona)

Sasa hapo mkuu kwa mtazamo wako naona ungejua ndo anatangaza nia!

Tusipeleke mawazo kwenye masuala hayo saa zote, kuna uwezekano mkubwa kakufananisha kweli ila mwanzo aliona tabu tu kukwambia

Gaijin; Umesema huyo mtu alikufananisha na akasema alishawahi kukuona mahali. Sasa mimi nimefananishwa na nikahoji kabisa vigezo vilivyotumika hadi nikafananishwa na jibu nililiambulia ni "Sijui" ..... Suala la kwa nini hakuniambia sababu hasa ya kunifananisha, hapo ndipo nahisi kufumbiwa fumbo! Waswahili wanasema fumbo mfumbie mjinga, mwerevu ataling'amua.. Isije ikawa hapa napimwa werevu au ujinga wangu hapa:teeth::teeth:
 
Ever heard of the saying "can't put my finger on it"? That could be it in your situation.
 
Hii imenikumbusha rafiki yangu mmoja hivi...huyu jamaa bwana alikuwa anafurahisha sana. Yeye eti hata kusalimiwa na msichana tu tayari anaanza kufikiria kuwa huyo msichana anamtaka.

Halafu kuna binti ambaye tunafanya naye kazi. Huyu binti yeye anadhani kila mwanaume anamtaka. Ukijitusu tu kuanzisha small talk kwake basi mwenzio ataenda kuhadithia kuwa unamtaka.

Kazi kweli kweli.

Mkuu huyo jamaa yako inafaa mmuunganishe na akina Bambo anafaa kuvunja watu mbavu, Ila mimi binti kafika mbali kunifananisha halafu hajui kwa kuzingatia vigezo gani amenifananisha..

Unaweza kumfananisha mtu na mtu wa familia yako na ukashindwa kujua ni kitu gani hasa kama hawafanana kwa sura.

Gestures and facial expressions pamoja na vitu kama flow ya speech inakuwa tabu kui pin point kwa ghafla japo unajua kuna kitu kinafanana
Gaijin, huyu binti hatujaonana naye jana au leo kwamba awe confused kiasi hicho. Ina maana miezi yote tuliyojuana bado hajapata jibu kwa nini kanifananisha? Isitoshe angeniambia tulipokutana tu nisingeshangaa kwa maana ilishawahi kunitokea mara nyingi tu kufananishwa na ninyi dada zetu na mimi huwa naichukulia kawaida, ila hii ya sasa kali kidogo..

I support you!!!

Nisapoti na mimi basi kupata ufumbuzi wa hili fumbo...
 
Gaijin; Umesema huyo mtu alikufananisha na akasema alishawahi kukuona mahali. Sasa mimi nimefananishwa na nikahoji kabisa vigezo vilivyotumika hadi nikafananishwa na jibu nililiambulia ni "Sijui" ..... Suala la kwa nini hakuniambia sababu hasa ya kunifananisha, hapo ndipo nahisi kufumbiwa fumbo! Waswahili wanasema fumbo mfumbie mjinga, mwerevu ataling'amua.. Isije ikawa hapa napimwa werevu au ujinga wangu hapa:teeth::teeth:

Huyu alisema amewahi kuniona sehemu kwa sababu aliponiona hiyo siku aloniona enzi za nyuma alinifananisha na rafikiye wa utotoni ndo maana amekumbuka kuwa amewahi kuniona ATI

Sikuuliza kanifananisha nini kwa hiyo sijui jibu gani ningepewa ila mimi nilimjibu kuwa sina kumbukumbu ya kukutana nae kabla na habari ikaisha tukaendelea na masuala ya kiofisi.

Kumfananisha mtu bila kujua unamfananisha nini ipo sana tu mbona
 
Back
Top Bottom