Binti akifikia hatua hii, omba Mungu

Kama Maskio yana Matundu mengi si amvalishe hijab ama mtandio! Mavazi sio dini!
umeshasema kikwazo ni tattoo zake ziko wazi hautaeleweka nyumbani kwenu,
ongea nae afute tattoo zinazoonekana na asivae hereni nyingi wakati unaenda kumtambulisha.

Trust me kama unampenda kweli hizo tattoo na hereni ni jambo dogo maana umesema unaangalia watu wanaokuzunguka means wewe huna tatizo nazo.
 
Najua mapema sana ila niko katika wakati mgumu sana na shemej yenu. Huyu binti yuko katika the most highl peak of maximum desperation ya ndoa

Hata sijui nifanyaje wakuu niko naye muda ila kiukweli siwezu mwoa huyu binti kiukweli ana vigezo vyoote amebadilika tabia n all that. Well niseme tu, she used to be a slay queen enzi hizo. So ana mavitu mwilini mwake ambayo mimi siyapendi kiufupi

Ila ni bint ambae ananipenda vibaya mno..na amenielewa nyanja zote na yuko tayar kwa lolote ..juz kanambia nisipokua muelewa na anachotaka ataniroga kiutani utan ila sura yake ilikua serious. sasa wakuu

Kwa sura ni mzur umbo zuri saaana ila sasa nampelekaje home kumtambulisha mtu maskio yana matobo kama 100 mwil tatoo kadhaa znazoonekana

Well nishapiga snaa kelele hum kuhusu huyu dem kumwacha namwonea huruma basi daaah. Nayeye ndo kaniganda .naweza sema huyu dem nipo peke yangu..hyo nna uhakika 100% ni dem flan hiv free soul mzungu flain hivi keshakaa sana ulaya etc. well akikasirika huwa anasmoke sometime..hahaha

Ila kaacha, anasema sabab zaman alikua anasmoke huko Uk.

Sasa wakuu huyu dem ameniganda sana nashindwa nifanyeje had muda mwingne analia kabisa, anatia huruma. Hapa had naandika hivi kanifata sehemu yangu ya kazi anataka nimsindikize hospital. Dahhh.

Huu msalaba mzito jamani, nipen ushauri

Mimi mwanamke akiwa mpiga fegi wala siulizi mara mbili.
 
Huyo mwanamke ukimuweka ndani akianani utakuja wekwa msukule maana nahisi anapenda sana ushirikina, angalia asije akawa anakula na ndum mkuuu,
Umependewa kazi wewe hakuna kingine.
 
Najua mapema sana ila niko katika wakati mgumu sana na shemej yenu. Huyu binti yuko katika the most highl peak of maximum desperation ya ndoa

Hata sijui nifanyaje wakuu niko naye muda ila kiukweli siwezu mwoa huyu binti kiukweli ana vigezo vyoote amebadilika tabia n all that. Well niseme tu, she used to be a slay queen enzi hizo. So ana mavitu mwilini mwake ambayo mimi siyapendi kiufupi

Ila ni bint ambae ananipenda vibaya mno..na amenielewa nyanja zote na yuko tayar kwa lolote ..juz kanambia nisipokua muelewa na anachotaka ataniroga kiutani utan ila sura yake ilikua serious. sasa wakuu

Kwa sura ni mzur umbo zuri saaana ila sasa nampelekaje home kumtambulisha mtu maskio yana matobo kama 100 mwil tatoo kadhaa znazoonekana

Well nishapiga snaa kelele hum kuhusu huyu dem kumwacha namwonea huruma basi daaah. Nayeye ndo kaniganda .naweza sema huyu dem nipo peke yangu..hyo nna uhakika 100% ni dem flan hiv free soul mzungu flain hivi keshakaa sana ulaya etc. well akikasirika huwa anasmoke sometime..hahaha

Ila kaacha, anasema sabab zaman alikua anasmoke huko Uk.

Sasa wakuu huyu dem ameniganda sana nashindwa nifanyeje had muda mwingne analia kabisa, anatia huruma. Hapa had naandika hivi kanifata sehemu yangu ya kazi anataka nimsindikize hospital. Dahhh.

Huu msalaba mzito jamani, nipen ushauri
Mpe namba yangu na matatizo yote anayokusababishia yatakwisha mara moja
 
Mkuu huyo oa. Kwa sifa hizo chukua chombo. Wewe mwenyewe unaonekana unampenda lakini unahofia perceptions za watu wengine juu yake. Jua ni wewe ndiye utakaa naye, siyo ndugu zako. Chukua chombo haraka Mkuu.Bahati hizi haziji mara mbili.
 
mapenzi yanabadilisha vingi kaka... kaa chini orodhesha vyote ulivyo na mashaka navyo... halafu mwalike sehem, mweleze ukwel kutoka moyoni.. utamaduni wa kwenu, na baadhi ya vitu alivyonavyo ambavyo si familia tuu hata ndugu na marafiki watakushangaa... tobo zote hizo hua zinaziba asipovaa hereni kwa muda mrefu, na asipovaa hereni hazionekani,
.
.
mweleze vyote, huyo kakupenda shukuru Mungu, wanatabia ya kuweka moyoni na yeye ameshafeel yupo sehemu sahihi, akikubali bas abadilike akisema no siwezi kanyaga clutch tia gear, then washa taa za hatari kanyaga mafuta!! kila la kheri!!
 
Najua mapema sana ila niko katika wakati mgumu sana na shemej yenu. Huyu binti yuko katika the most highl peak of maximum desperation ya ndoa

Hata sijui nifanyaje wakuu niko naye muda ila kiukweli siwezu mwoa huyu binti kiukweli ana vigezo vyoote amebadilika tabia n all that. Well niseme tu, she used to be a slay queen enzi hizo. So ana mavitu mwilini mwake ambayo mimi siyapendi kiufupi

Ila ni bint ambae ananipenda vibaya mno..na amenielewa nyanja zote na yuko tayar kwa lolote ..juz kanambia nisipokua muelewa na anachotaka ataniroga kiutani utan ila sura yake ilikua serious. sasa wakuu

Kwa sura ni mzur umbo zuri saaana ila sasa nampelekaje home kumtambulisha mtu maskio yana matobo kama 100 mwil tatoo kadhaa znazoonekana

Well nishapiga snaa kelele hum kuhusu huyu dem kumwacha namwonea huruma basi daaah. Nayeye ndo kaniganda .naweza sema huyu dem nipo peke yangu..hyo nna uhakika 100% ni dem flan hiv free soul mzungu flain hivi keshakaa sana ulaya etc. well akikasirika huwa anasmoke sometime..hahaha

Ila kaacha, anasema sabab zaman alikua anasmoke huko Uk.

Sasa wakuu huyu dem ameniganda sana nashindwa nifanyeje had muda mwingne analia kabisa, anatia huruma. Hapa had naandika hivi kanifata sehemu yangu ya kazi anataka nimsindikize hospital. Dahhh.

Huu msalaba mzito jamani, nipen ushauri

Mkuu usipate tabu nipigie pande mimi nimpeleke home kwa maza wataelewana tu
 
Kuna muda mwingine unatakiwa uishi maisha ya wewe kama wewe na sio wewe watakuonaje wengine. Cha msingi ni upendon uwepo.
 
Back
Top Bottom