Binti akatwa titi (ziwa) lake akiwa amelala bila kujijua!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Binti akatwa titi (ziwa) lake akiwa amelala bila kujijua!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Baba Matatizo, Feb 7, 2012.

 1. B

  Baba Matatizo JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: May 5, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Bint wa miaka 12 aitwae CHAUSIKU MRISHO...MKAZI WA KIJIJI CHA ISIMU,KATA YA IBILI,WILAYA YA UYUI MKOANI TABORA AMEKATWA TITI LAKE AKIWA AMELALA.BINTI HUYO ALIBAINI KWAMBA AKIWA HANA TITI LAKE BAADA YA ASUBUHI KUINGIA.BINTI ALIPELEKWA ZAHANATI KWAAJILI YA HUDUMA YA KWANZA ILI KUZUIA DAMU ISIENDELEE KUVUJA.
   
 2. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  hakusikia maumivu????
   
 3. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  ngoja niulize+watu wangu wa tbr!ndo manamaendeleo hakuna.watu bado wachawi sana
   
 4. K

  Kilaza Flani Member

  #4
  Feb 7, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Miaka kumi na mbili ana titi la kukatwa?duh
   
 5. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #5
  Feb 7, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  kweli+wewe kilaza!watoto wa miaka hii kuanzia miaka kumi mzigo unakuwa umeiva na matiti ni makubwa tena sana.unadhani vyakulavyetu ni mchezo?.
   
 6. DGMCHILO

  DGMCHILO Member

  #6
  Feb 7, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hiyo ni kazi ya shetani
  yeye ni mharibifu wakati wote kwa mwili na roho na maisha ya mwanadamu kwa kuwatumia watu waovu na wasio na huruma kwa watu wenzao
  ulinzi wetu utatoka wapi?
   
 7. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #7
  Feb 7, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  African science!
  Ingeweza kuwa patented ikatumika hapo ocean road mbona mabwana usingizi wangekosa tenda!
   
Loading...