chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,388
- 24,947
Mwanafunzi wa mwaka wa pili katika Chuo Kikuu Cha Tumaini Makumira jijini Arusha, Jennifer Meshack (26) amejiua kwa kujinyonga baada ya kujifungua mtoto ambaye hakutimiza miezi yaani njiti.
R.I.P Jennifer Meshack
===≠===========

Kamanda wa jeshi la polisi Mkoa wa Arusha Liberatus Sabas alithibitisha kutokea kwa tukio hilo ma kusema Jennifer alijifungua Januari 29, lakini bahati mbaya mtoto wake hakutimiza miezi na keshio yake asubuhi aliamka na kumyonyesha mtoto kisha alipotea, mpaka kesho yake aliponekana juu ya mti akiwa amejinyonga.